Zamani elimu ilikua ni ufunguo wa maisha ila siku hizi elimu ni kifungo cha maisha mkuu.Kwa hivyo unakiri kua elimu uliyoipata haijakusaidia kupambana na mazingira yako mpaka ubebwe tena na ajira?
Hivi Bongo kuna elimu gani ya kukufanya upambane na mazingira?Kwa hivyo unakiri kua elimu uliyoipata haijakusaidia kupambana na mazingira yako mpaka ubebwe tena na ajira?
Ni kweli asee maana jinsi unavozidi kusoma ndio jinsi akili ya kujitegemea na kujiajiri inazidi kupungua, ndio maana inafika levo watu wanamuita yule jamaa kwamba ni Yesu wao.Zamani elimu ilikua ni ufunguo wa maisha ila siku hizi elimu ni kifungo cha maisha mkuu.
Hahah daah na hao wanaomuita hivyo wengi wao ni 'wasomi' kwa sana tu.Ni kweli asee maana jins unavozid kusoma ndo jins akili ya kujitegemea na kujiajiri inazid kupungua. ndo mana inafika levo watu wanamuita yule jamaa kwamba ni yesu wao.
Nimewahi kusikia wanaopewa kipaumbele ni Walimu wa Sayansi, naona wewe una biology
Nimewahi kusikia wanaangaalia ukubwa wa GPA, Nyakati hizi zenye competition, sijui wewe GPA yako ipo vipi
Kumbuka humu unaweza kupata msaada kwani wapo watu wenye nafasi zao, lakini pia kumbuka kuwa makini kwa kuwa MATAPELI WAPO
Mfano mzee wa tashwishwi ni msomi kabisa lakini sasa.Hahah daah na hao wanaomuita hivyo wengi wao ni 'wasomi' kwa sana tu.
GPA yangu ni upper second 3.5Nimewahi kusikia wanaopewa kipaumbele ni Walimu wa Sayansi, naona wewe una biology
Nimewahi kusikia wanaangaalia ukubwa wa GPA, Nyakati hizi zenye competition, sijui wewe GPA yako ipo vipi
Kumbuka humu unaweza kupata msaada kwani wapo watu wenye nafasi zao, lakini pia kumbuka kuwa makini kwa kuwa MATAPELI WAPO
Chuo gani mkuu?GPA yangu ni upper second 3.5
Serikalini hawaangalii hizo GPA,wanaangalia mahitaji, mfano kwa sasa mahitaji na kipaumbele ni Mathematics na Physics, then Chemistry & Biology, Private huangalia ufaulu wa vyeti but umahili wa masomo unayofundisha uwepo, kifupi ueleweke na ufaulishe kwa masomo unayofundisha.GPA yangu ni upper second 3.5
Siku hizi mwenye kibali cha ajira za ualimu ni raisi na tamisemi wala siyo afisa elimu.nenda shule za vijijin ndan ndan huko ambako kuna uhaba wa walimu, jitolee kufundisha , baada ya muda, ongea na mwalimu mkuu awasiliane na afisa elimu wakuunge kwenye ajira
Hii program nadhali ilifanyika kwa shule za dar,na mm sikuwa na uwezo wa kuishi dar kufatana na gharama zake za maishaNinavyojua mimi Walimu wa masomo ya Science wengi wao sio wote walikuwa wanajitolea kufundisha katika shule mbalimbali za serikali tangu January mpaka 17 March hawa ndio watakuwa KIPAUMBELE CHA HIZO AJIRA.