ndavandava
Member
- Jun 18, 2015
- 94
- 37
Itakuwa poasanaAsante kwa taarifa hiyo ndugu yangu sinafungu, tuakuwa na mapumzio ya long weeend 24/12/2015 kazini tena itakuwa 28/12201.
Tarehe 23/dec ni mkesha na tarehe 25 ndio maulid day yenyewe, hii ni kwa mujibu wa tamko la BAKWATA.
Mkesha wa Maulid ni tarehe 23 Dec mapumziko ni tarehe 24 Dec.
Jamani naomba kujuzwa kwa anayefahamu Maulid Day itakuwa kesho au keshokutwa.
Maana hapa kazini kwetu kuna baadhi ya kalenda zimeonyesha kesho na Nyingine ni keshokutwa.
Hii inanoga zaidi Kama mfukoni/ bank account inaruhusu. Ukiwa arosto utatamani Dunia ipasuke uingie kujistiri.Mkesha 23 Dec. Na Holiday 24 Dec. 25 Dec Christmas Na 26 Dec Boxing Day!!
Tarehe 23/ Dec ni mkesha na tarehe 25 ndio Maulid day yenyewe, hii ni kwa mujibu wa tamko la BAKWATA.
Ksuley, umefunika. no more questions on holidays.Mkesha 23 Dec. Na Holiday 24 Dec. 25 Dec Christmas Na 26 Dec Boxing Day!!
Soma hapoJamani, naomba kujuzwa. Kwa anayefahamu, Maulid Day itakuwa kesho au keshokutwa?
Maana hapa kazini kwetu kuna baadhi ya kalenda zimeonyesha kesho na nyingine ni keshokutwa.
Jamani, naomba kujuzwa. Kwa anayefahamu, Maulid Day itakuwa kesho au keshokutwa?
Maana hapa kazini kwetu kuna baadhi ya kalenda zimeonyesha kesho na nyingine ni keshokutwa.