Maujuzi ya I Phone

Maujuzi ya I Phone

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Habari zenu ndugu zangu?

Mwaka huu na mpango wakuanza kutumia iphone hasa taget yangu ni iphone Xs max au 11 pro max(napenda simu kubwa) ila kuna kitu nataka kujua kuhusu hizi iphone kwa kwel maana kuna iphone OG na fake je nitajuaje kuwa hii ni fake na hii n OG? Ili nisije kubambikwa simu fake?
 
Habari zenu ndugu zangu?? Mwaka huu na mpango wakuanza kutumia iphone hasa taget yangu ni iphone Xs max au 11 pro max(napenda simu kubwa) ila kuna kitu nataka kujua kuhusu hizi iphone kwa kwel maana kuna iphone OG na fake je nitajuaje kuwa hii ni fake na hii n OG??? Ili nisije kubambikwa simu fake??

Nenda kwenye duka Apple hapo mliman city utanunuaa simu original uipendayo
 
iCloud...fake hazina
itunes

appstore...fake haina appstore au ikifunguka inakupeleka google playstore.

Hizo ndo za haraka kugundua..zingine zinahitaji umakini mkubwa zaidi kulingana na toleo
 
Feki Ukiidumbukiza kwenye maji haiwaki tena.
 
nenda dukani na ndoo ya maji , nunua na uwashe iphone then itumbukize kwenye maji nusu saa,itoe izime na uiwashe ... ..ikikataa kuwaka hiyo ni feki
 
Habari zenu ndugu zangu?

Mwaka huu na mpango wakuanza kutumia iphone hasa taget yangu ni iphone Xs max au 11 pro max(napenda simu kubwa) ila kuna kitu nataka kujua kuhusu hizi iphone kwa kwel maana kuna iphone OG na fake je nitajuaje kuwa hii ni fake na hii n OG? Ili nisije kubambikwa simu fake?
Kama unataka Iphone OG nenda I Store Mlimani City au Seacliff Village.
 
Back
Top Bottom