Maujanja

Maujanja

Mchepuko1

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
215
Reaction score
103
Nimekuja na Uzi huu kwa ajili ya wanajamii forums wale wapenda followers nifuateni trick hizi ila kama unayo nyingine tupia humu tuwapunguzie watu wanaonunua akaunti wasiibiwe.
1.follow watu wengi waliolike picha zisizona mda mrefu baada ya apo unfollow wale waliyokufollow matunda utayaona
2.Fanya kuweka picha zinazovutia harafu follow mastar tu pekee yao chap utaona followers wanatiririka
Naimani itawasaidia wengi ila muwe wavumilivu kufikisha hats 1k yaweza chukua wiki moja
 
😂😂😂😂 utoto unakusumbua badala ya kutafuta hela wewe unatafuta followers utadhani hao followers wanakupa shibe , Tafuta pesa folowers watakuja tu wenyewe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utoto unakusumbua badala ya kutafuta hela wewe unatafuta followers utadhani hao followers wanakupa shibe , Tafuta pesa folowers watakuja tu wenyewe.
Mkuu usihukumu kwanza kabla yakujua nia ya mtoa mada.

Kwa sisi tunaofanya business online tunaelewa umuhimu wa kuwa na followers kwenye mitandao ya kijamii.

Hawa followers tunawa-convert kuwa potential buyers wa product tunauza.

Kulipia shoutout kwenye social media inaumiza bajeti ya mjasiriamali. Kwahiyo best option nikutafuta njia zakukuza hao followers kwenye page yako then unawavuta kwenye store yako.

Kama mtoa mada lengo lake ni kupata followers apate likes nyingi asifiwe na marafiki zake basi hiyo ni maneno nyingine.

Niliona niangazie hii mada kwa upande huu.
 
Mkuu hujakosea lengo langu ndo hilooo
 
Habari zingine chafu kabisa huu uzi ufutwe maana sioni faida yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utoto unakusumbua badala ya kutafuta hela wewe unatafuta followers utadhani hao followers wanakupa shibe , Tafuta pesa folowers watakuja tu wenyewe.
Unajiita white hat ,umeshindwa kujua hata jinsi gani followers wanalipa...
 
Wadau achaneni na white tujuzane sie maujanja ya kuongeza follower si ndo tunajua umuhimu wake wenye mbinu ailete kila mtu spate idea
 
Na likes, comment na folliwers ni source ya ugonjwa mwingine katika kizazi chetu, mtu anaweka picha ili apate likes na comment, umependeza, u luk cute, umetishaa, umevibe, umedash na kauli zungine! Endapo akipata chache hasa binti wanapata mfadhaiko (depression) sana
 
Mkuu elewa hatujasema tunatafuta like na comments soma Uzi vizuri na kwa sauti ili uelewe saws
 
Mkuu usihukumu kwanza kabla yakujua nia ya mtoa mada.

Kwa sisi tunaofanya business online tunaelewa umuhimu wa kuwa na followers kwenye mitandao ya kijamii.

Hawa followers tunawa-convert kuwa potential buyers wa product tunauza.

Kulipia shoutout kwenye social media inaumiza bajeti ya mjasiriamali. Kwahiyo best option nikutafuta njia zakukuza hao followers kwenye page yako then unawavuta kwenye store yako.

Kama mtoa mada lengo lake ni kupata followers apate likes nyingi asifiwe na marafiki zake basi hiyo ni maneno nyingine.

Niliona niangazie hii mada kwa upande huu.
Unajiita white hat ,umeshindwa kujua hata jinsi gani followers wanalipa...
Mimi pia nafanya shughuli mbalimbali online na pia najua umuhimu wa followers ila sio kwa njia hiyo ya kufollow watu na kuwa unfollow ukadhani unakuza brand
ukitaka kuongeza followers na kukuza biashara inabidi upost content nzuri pia ujitangaze kwa kununua ads mbalimbali kama ads za facebook,instagram,ads za google n.k hapo content zako zitafika kwa audience wengi
lakin hiyo njia ya jamaa utapoteza muda na unaweza kuwa limited au kupigwa ban kwa kuonekana kama spam
 
mimi pia nafanya shughuli mbalimbali online na pia najua umuhimu wa followers ila sio kwa njia hiyo ya kufollow watu na kuwa unfollow ukadhani unakuza brand
ukitaka kuongeza followers na kukuza biashara inabidi upost content nzuri pia ujitangaze kwa kununua ads mbalimbali kama ads za facebook,instagram,ads za google n.k hapo content zako zitafika kwa audience wengi
lakin hiyo njia ya jamaa utapoteza muda na unaweza kuwa limited au kupigwa ban kwa kuonekana kama spam
Ndio maana ya kuleta mada ili tujadili but mkuu apo ndo umenifurahisha asante kwa mchango wako
 
Back
Top Bottom