Yap ni pocbo kabisa ila utaweza 2mia kwa operamin na uc browser.. Nenda kwenye TCP/IP kwenye apn name weka v na kwenye apn settings weka v hzo v namaanisha ni alama za vema.. Hapo utaenjoy kwa bundle za cheka na youtube as usual..ila uki2mia applicatin kama ya twta na facebook zitakugomea hz znataka bundle za bb.