SirChief JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 3,304 Reaction score 3,380 Jul 2, 2015 #2 Apo ni bata tuu..na usiwe na ela za mawazo
N Ndondobwila JF-Expert Member Joined Jun 9, 2015 Posts 562 Reaction score 409 Jul 2, 2015 #3 Pamependeza
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 13,115 Reaction score 38,752 Jul 2, 2015 #4 Pako poa sana
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Jul 2, 2015 #5 Daaaah si mchezo cute b twenzetu huku bana!
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Jul 2, 2015 Thread starter #6 kashesho nitakupeleka na hapa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,972 Reaction score 2,494 Jul 2, 2015 #7 Bavaria said: kashesho nitakupeleka na hapa Click to expand... lini sasa utanipeleka maana nina kimuhemuhe
Bavaria said: kashesho nitakupeleka na hapa Click to expand... lini sasa utanipeleka maana nina kimuhemuhe
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Jul 2, 2015 Thread starter #8 kashesho said: lini sasa utanipeleka maana nina kimuhemuhe Click to expand... December ya mwakani. Mwaka huu sijapanga kwenda huko.
kashesho said: lini sasa utanipeleka maana nina kimuhemuhe Click to expand... December ya mwakani. Mwaka huu sijapanga kwenda huko.
M Mzee Mwalubadu Senior Member Joined Jun 25, 2015 Posts 178 Reaction score 72 Jul 2, 2015 #9 miss chagga jiandae siku ya uchaguzi tutakuwa huko. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
S Swat JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 4,201 Reaction score 2,003 Jul 2, 2015 #10 Vitu kama hivyo unavipata pia Bahamas,Honolulu na Cape Verde. Usiwe na pesa za mawazo tu!
hazole1 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 4,319 Reaction score 3,919 Jul 2, 2015 #11 kama. mtu umekufa halafu haujawahi kwenda sehemu hizo basi ujue kwenye maisha yako bado hauja enjoy.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Jul 2, 2015 Thread starter #12 hazole1 said: kama. mtu umekufa halafu haujawahi kwenda sehemu hizo basi ujue kwenye maisha yako bado hauja enjoy. Click to expand... Unaweza kuanzia Zanzibar, Mauritius, South Africa etc
hazole1 said: kama. mtu umekufa halafu haujawahi kwenda sehemu hizo basi ujue kwenye maisha yako bado hauja enjoy. Click to expand... Unaweza kuanzia Zanzibar, Mauritius, South Africa etc
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,110 Jul 3, 2015 #13 Mzee Mwalubadu said: miss chagga jiandae siku ya uchaguzi tutakuwa huko. Click to expand... nikisha piga kura lakini
Mzee Mwalubadu said: miss chagga jiandae siku ya uchaguzi tutakuwa huko. Click to expand... nikisha piga kura lakini