Mnyalugendo
Member
- Dec 31, 2012
- 15
- 3
Mauaji yanayoendelea visiwani ni mtaji kwa serikali na watendaji wake kwani mauaji hayo yanapotokea haraka sana tume huundwa na kutumia pesa nyingi za walipa kodi mwisho wa siku hakuna mrejesho wowote ule tjiulze watanzania wenzangu majibu ya uchunguzi wa katibu wa muft kumwagiwa tindikali padre aliyepigwa risasi na sasa wanarudi tena kwa padre aliye uawa yote haya ni mchezo watu kutengeneza pesa tuwe waangalifu