Mauaji yanayoendelea Mwanza; polisi wana mpango gani?

lingindingi

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2016
Posts
218
Reaction score
123
Habari wana jamii
Nimevumilia ila nimechoka inabidi niseme kweli huku kwetu maeneo ya buhongwa ,mkolani hadi nyegezi tuna uwawa kama ndege ,ukikutwa na hawa jamaa lazima wakuuwe chaajabu awachukui hata mia yako hali hii imeanza tangu katikati ya mwezi wa kumi na mbili mwaka jana,taktibanai watu 30 wameuwa tadi leo ,polisi wao wanakuja kuchuku maiti na kupiga mkwala kisha wanaondoka !siwezi kuamini kuwa kamand wa polisi mwanza ameshindwa kuzuia hili ila hajapata kiki y msukumo wa kufanya kazi yake kiumwakini!,jamani msaada huku hayuna amani hat wakulikukuta umekwnda nawajua watu kama wanne tu ndio walionusulika huku
 
Mkuu jaribu kuedit uzi najua upo katika panic.

Uweke uzi vizuri tuelewe.
 
Kama hata waandishi wanapotelea kusikojulikana nani wa kuripoti habari zaidi wakilipoti watatakiwa kuomba msamaha!
 
Yawezekana hata waandishi wa habari wamegwaya baada ya kuona yule wa Mwananchi ametokomea kusikojulikana.
"To every action there is equal and unequal reaction". That applies even to every silence.
 
Hata huku kijijini wanawake wanachinjwa Sana. Lakini sijawahi kusikia habari yoyote kwenye vyombo vya Habari.
 
Poleni sana wakuu,ngoja tusubiri matokeo ya uchunguzi unaoendelea.
 
Habari wana jamii
Nimevumilia ila nimechoka inabidi niseme kweli huku kwetu maeneo ya buhongwa ,mkolani hadi nyegezi tuna uwawa kama ndege ,ukikutwa na hawa jamaa lazima wakuuwe chaajabu awachukui hata mia yako hali hii imeanza tangu katikati ya mwezi wa kumi na mbili mwaka jana,taktibanai watu 30 wameuwa tadi leo ,polisi wao wanakuja kuchuku maiti na kupiga mkwala kisha wanaondoka !siwezi kuamini kuwa kamand wa polisi mwanza ameshindwa kuzuia hili ila hajapata kiki y msukumo wa kufanya kazi yake kiumwakini!,jamani msaada huku hayuna amani hat wakulikukuta umekwnda nawajua watu kama wanne tu ndio walionusulika huku
Ndugu kua mkweli acha kudanganya kwa kiwango cha juu hivyo.mimi ninaishi Usagara na ninafanya kazi zangu town.ni kweli kuna matukio kama hayo unayoyasema yamezuka lakini unapotanabaisha kua ni watu 30 huu ni uongo mkubwa.kumetokea mauaji kadhaa kama matatu mpaka manne na la majuzi hapa tumelisikia mjini la mfanya biashara lakini idadi hii ya watu 30 wewe umeitoa wapi?
 
Poleni sana wahanga , vyombo vya dola vinahangaika na Mange Kimambi
 
Ndugu kua mkweli acha kudanganya kwa kiwango cha juu hivyo.mimi ninaishi Usagara na ninafanya kazi zangu town.ni kweli kuna matukio kama hayo unayoyasema yamezuka lakini unapotanabaisha kua ni watu 30 huu ni uongo mkubwa.kumetokea mauaji kadhaa kama matatu mpaka manne na la majuzi hapa tumelisikia mjini la mfanya biashara lakini idadi hii ya watu 30 wewe umeitoa wapi?
Ana lake jambo...

Nonsense kabisa.
 
Back
Top Bottom