Adui mkubwa wa Policcm ni Chadema na CUF, ujambazi wala sio tatizo kwa policcm. Juzi nilimuona kwenye tv afande kova anavyomwaga povu kwenye kamera utafikiri amemfumania mke wake kumbe anakataza msafara wa ukawa akiwa amepata maagizo kutoka kwa bosi zake Lumumba. Ukawa wakichukuwa nchi hawa wakina kova ni wa kufukuzwa