Mauaji wa Walemavu wa Ngozi

Wauaji wanajulikana wazi wazi tu mbona halafu serikali inakaa kimyaaa!

Tumeshaambiwa wazi kuwa dealers ni wanasiasa, wachungaji wakubwa mf. yule mwenye benki kule Mwenge na kanisa kubwa sana alishatajwa na raia wengi tu, yet this silly govt is doing nothing toward our dear brothers and sisters...
 
Wahusika ni viongozi wakubwa CCM ndo maana mpaka raisi ameshindwa kusaini wale wahusika wa haya mauaji wanyongwe ili iwe fundisho kwa wengine ukimya wake unamaanisha yeye aendelee kufurahia hayo mauaji .
 

Wanaogopa wakimshtaki watakosa kura mkuu!!
 
Wamejificha kwetu lkn c Kwa Mungu ipo ck wataumbuka kama amabavyo usalama wa taifa wameanza kuumbuka na mzee mjinga mpumbavu mangurah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…