Mauaji na demokrasia tz

Mauaji na demokrasia tz

bainamugisha

Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
13
Reaction score
2
Eti niliona swali la kipima joto juzi ITV kwamba kuongezeka kwa mauaji katika mikutano ya vyama vya siasa ni kukua kwa demokrasia nchini???
Kweli jamani mtu anayetengeneza au kuhariri mada hizi ana uwezo wa kufikiria???ushauri wangu wachunguze mada zao kabla hazijaluka hewani
 
Back
Top Bottom