Hili pekee halitoshi ila kikubwa ni kumwomba Mungu atulinde na kutuokoa na balaa hili. Mauaji yameongezeka sana kila kunapokucha wanausalama wameshindwa kupambana na hali na anayeweza ni MUNGU pekee kwa kumwomba atuongoze katika kupambana na hali hii ya kusikitisha
Wa kwanza aipigwa risasi sebuleni na kuvutiwa chumbabi huku damu zikichuruzika, wa pili alifumaniwa gaetini akiingia na gari lake kutoka katika shughulu zake.
Kinachonisikitisha na kunikatisha tamaa ndio hiki kwanini wanaiba na kuua? Kwanini wasiibe tu na kuwaachia watu roho zao? MUNGU TUNAKUOMBA TUKIPIGA MAGOTI YA MOYONI NA YA NYAMA USIMAME NA WATU HAWA WANAODHULUMU ROHO ZA WAJA WAKO WANAPOKUJA KWA NJIA MOJA WASAMBARATIKE KWA NJIA SABA. Amen
Hiyo lazima itakuwa issue ya kibiashara, si ajabu wameshinda pahali wakakataa kutoa haki za wengine, maana hakuna pesa zilizochukuliwa kutoka kwao, kwani hamkumbuki issue ya ABDUL OMAR MASUDI WA RTD?
Hili pekee halitoshi ila kikubwa ni kumwomba Mungu atulinde na kutuokoa na balaa hili. Mauaji yameongezeka sana kila kunapokucha wanausalama wameshindwa kupambana na hali na anayeweza ni MUNGU pekee kwa kumwomba atuongoze katika kupambana na hali hii ya kusikitisha
Umesema vema, maana biblia yasema Bwana asipoulinda mji, waulindao wanakesha bure. Lakini kiburudisho ni kwamba watu siku hizi wanakesha makanisani kuomba amani kuliko hapo zamani lakini hali ndo imekuwa mbaya zaidi kushinda hapo ambapo watu walikuwa hawamjui Mungu.