Tunaomba serikali kupitia wizara yake ya mambo ya ndani,kuimarisha doria eneo la chuo hiki kilichopo Gongo la Mboto Dar,wanafunz wamekua wakijeruhiwa ovyo na wanaoitwa vibaka na kuibiwa vitu vyao,na tunaona Jumapil jion bint mdogo Anifa Mgaya mwanafunzi ameuawa kwa kuchomwa( imesemekana visu) eneo la getini maskini bila msaada wowote.IGP aangalee uwezekano wa kuimarisha ulinzi eneo hilo la chuo linaloviziwa na wengi wanaohatarisha usalama wa wanafunzi na kujeruhiwa mara kwa mara !
Chuo husika wapeleke walinzi wao auxiliary police course tena chuo cha polisi moshi bila kusahau waandae gari ya doria katika maeneo yao kama hali ilivyo pale UDSM.Ila ukisema nukumu la ulinzi ni la Police mungu wangu tutawapteza sana wataalamu wetu maana kanda ya Gongolamboto watu wake wengi wa maisha duni hivyo hapo wahalifu ni wengi sana na uhalifu ni mkubwa sanaTunaomba serikali kupitia wizara yake ya mambo ya ndani,kuimarisha doria eneo la chuo hiki kilichopo Gongo la Mboto Dar,wanafunz wamekua wakijeruhiwa ovyo na wanaoitwa vibaka na kuibiwa vitu vyao,na tunaona Jumapil jion bint mdogo H.Mgaya mwanafunzi ameuawa eneo la getini maskini bila msaada wowote.IGP aangalee uwezekano wa kuimarisha ulinzi eneo hilo la chuo linaloviziwa na wengi wanaohatarisha usalama wa wanafunzi!
Upo sawa,lkn Gvt yaeza tumia hata mgambo wake pia kwa maeneo hatarishi kama hayo,kuimarisha secururity,utakumbuka maeneo ya town askar polc wanapita na silaha maeneo mbalimbali kuanzia tme za saa 22 jioni,sasa huko pembezoni kungepewa kipaumbele pia,maana ndipo wahalifu wengi wamapokimbilia kujificha. Maeneo hayo ya chuo wanafunz wamekuwa wakijeruhiwa mara kwa mara,sio mara moja!KK security, Ultimate security, SGA..... hapo viongozi wa chuo wajiongeze tu.
Sorry,kuanzia saa 12 jioni.Upo sawa,lkn Gvt yaeza tumia hata mgambo wake pia kwa maeneo hatarishi kama hayo,kuimarisha secururity,utakumbuka maeneo ya town askar polc wanapita na silaha maeneo mbalimbali kuanzia tme za saa 22 jioni,sasa huko pembezoni kungepewa kipaumbele pia,maana ndipo wahalifu wengi wamapokimbilia kujificha. Maeneo hayo ya chuo wanafunz wamekuwa wakijeruhiwa mara kwa mara,sio mara moja!
Kile si chuo cha umma.Chuo husika wapeleke walinzi wao auxiliary police course tena chuo cha polisi moshi bila kusahau waandae gari ya doria katika maeneo yao kama hali ilivyo pale UDSM.Ila ukisema nukumu la ulinzi ni la Police mungu wangu tutawapteza sana wataalamu wetu maana kanda ya Gongolamboto watu wake wengi wa maisha duni hivyo hapo wahalifu ni wengi sana na uhalifu ni mkubwa sana
Harafu kambi ya jeshi ipo karibu tuuTunaomba serikali kupitia wizara yake ya mambo ya ndani,kuimarisha doria eneo la chuo hiki kilichopo Gongo la Mboto Dar,wanafunz wamekua wakijeruhiwa ovyo na wanaoitwa vibaka na kuibiwa vitu vyao,na tunaona Jumapil jion bint mdogo H.Mgaya mwanafunzi ameuawa eneo la getini maskini bila msaada wowote.IGP aangalee uwezekano wa kuimarisha ulinzi eneo hilo la chuo linaloviziwa na wengi wanaohatarisha usalama wa wanafunzi!
Tatizo wanapenda vya bei nafuu badala ya kuajiri Security Guards/officers wanaajiri ma Watchmen...yaani vyuo vingi walinzi ni wachovu sana hata UDSM hostel za mabibo zilikua zinalindwa na kampuni moja la kigemu ...siku moja majambazi walivaamia zile Mpesa za pale nje hakuna mlinzi aliyebaki getini wote walikmbia gate liliachwa wazi..KK security, Ultimate security, SGA..... hapo viongozi wa chuo wajiongeze tu.
Duh! Hatari jamaniTatizo wanapenda vya bei nafuu badala ya kuajiri Security Guards/officers wanaajiri ma Watchmen...yaani vyuo vingi walinzi ni wachovu sana hata UDSM hostel za mabibo zilikua zinalindwa na kampuni moja la kigemu ...siku moja majambazi walivaamia zile Mpesa za pale nje hakuna mlinzi aliyebaki getini wote walikmbia gate liliachwa wazi..
Ni kweli,naskia msako umeashaanza!