Power to the People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 1,198
- 900
Je, kwa sababu parking hazitoshi basi tungoe miti na maua ili kupisha magari? Maua/miti yana faida zake pia kwa wakazi wa mji. Imagine Co2 zinakuwa emitted na magari halafu hakuna mimia ya kuabsorb angalau sehemu ya Co2 hiyo!
Je, kwa sababu parking hazitoshi basi tungoe miti na maua ili kupisha magari? Maua/miti yana faida zake pia kwa wakazi wa mji. Imagine Co2 zinakuwa emitted na magari halafu hakuna mimia ya kuabsorb angalau sehemu ya Co2 hiyo!
kaka/dada uliyopost mada hii unaonekana huna elimu ya darasani na hata ikaundwa wizara ya mazingira,wizara ya maliasili bodi mbalimbali,Nemc,hata waandishi wa habari wa mazingira na hata ujenzi pia kabla haujafanyika unatakiwa utafiti wa kutosha kuhusu mazingira-enviroment impact assessment, na mtu au mkandarasi mbora ni yule anayejenga na kujali au kufata mazingira yalivyo.
tatizo lako kila kitu wanavyofanya aidha halimashauri au manispaa wakifany autajua ufisadi ondoa zana hiyo. hata hiyo global warming japo huku nchi zetu za afrika effect yake siyo kubwa sana ndiyo maana huoni umuhimu wake. kumbuka kuna siku ya mazingira na upandaji miti.
soma sana au angalia mtandao na siyo kulaumu kila kitu kwa serikali.
yeyote anayesupport wanachofanya Municipals kule arusha nadhani hajafika akaona mwenyewe. hata mtoto wa shule ya msingi hawezi kutoa ushauri wa vile. Ile ni upotevu tu wa mali za nchi hii. hata wangekuwa wanafanya evaluations matofali ambayo yameshakanyagwa na magari ni mengi kuliko ambayo bado mazima. Hii pekee yake inaprove kuwa ule mradi wao siyo endelevu!
yeyote anayesupport wanachofanya municipals kule arusha nadhani hajafika akaona mwenyewe. Hata mtoto wa shule ya msingi hawezi kutoa ushauri wa vile. Ile ni upotevu tu wa mali za nchi hii. Hata wangekuwa wanafanya evaluations matofali ambayo yameshakanyagwa na magari ni mengi kuliko ambayo bado mazima. Hii pekee yake inaprove kuwa ule mradi wao siyo endelevu!