Ingekua hivyo basi rostam azizi nae angetafuta pa kufichama,kwani nani wa EPA ambae hajafichama yanga kama manji umemuona Segerea na yale mavazi meupe?
Sidhani kama wezi wa EPA wanahitaji kufichama yanga ili mkono wa sheria usiwafikie kwani wengi bado wanapeta mtaani,tafuta sababu na ushawishi mwingine