Matusi, vioja, hadaa, na vitisho katika kampeni za CCM

Matusi, vioja, hadaa, na vitisho katika kampeni za CCM

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
3,625
Reaction score
5,815
Ndugu Watanzania, Kwa ajili ya faida yangu na Yenu wapenda Mabadiliko katika Nchi yetu, Nimeona ni Dhambi Kubwa Kukaa kimya na Kutegemea wengine wapiganie Ukombozi wangu kwa Jasho na Damu yao wakati mimi sifanyi Lolote.

Kwa Teknologia ilivyosasa nimeona yapo Mengi ninayoweza kufanya ikiwa ni kutoa majibu ya madai yafuatayo.

(1)MATUSI:- Ati Katika Vichwa vya Lowassa na Sumaye kuna Uji Badala ya Ubongo.

(2) HADAA:- Ati CCM Wakichaguliwa watachoma Kunguni (AKA Mafisadi) Vitandani mwao

(3) VITISHO:- Ati Watanzania wakipiga Kura Kuleta mabadiliko wakiiondoa CCM iliyo Corrupt at Watakaribisha Machafuko, Kama ilivyo Libya na Misri.

(4) KEJELI, Ati Wapinzani wanahitaji Uzoefu wa Miaka 50 Kabla ya Kuaminiwa Kuongoza Nchi.

TAFADHALI SHARE VIDEO HII NA KILA UNAYEMJUA KAMA UNATAKA KUSHIRIKI KATIKA JUHUDI ZA UKAWA ZA KULETA MABADILIKO, USIKAE TU, TECKNOLOGIA HII INAKUPA NYENZO YA KUSAIDIA.

Last edited by a moderator:
Mkuu kama humjui magufuli basi jipange hasa kama wewe ni fisadi kama Lowasa kazi unayo waambie na mafisadi wengine magufuli ni kiumbe mwingine kabisa.
 
Kama unaweza kumchukua mtu fisadi kama Lowasa halafu unataka awe Rais wa nchi hiyo ni akili matope?

huo muda wote Lowassa akiitwa fisadi huyo Makufuli alikuwa masomoni, ni hatua gani aliwahi kumchukulia? Aliwahi hata kupeleka hoja binafsi bungeni ya kupambana na ufisadi?
 
Hakuna mbinu watakayo panga CCM mwaka huu isijulikane MUNGU yupo na Taifa hili na shetani lazima aangushwe tu tumechoka, tumechoka, tumechoka sana.

CCM hii imefitinisha dini, makabila, imeleta ukanda na kutukana watu maskini hovyohovyo bila haya wala soni.

Msivyo na aibu mnataka kuendelea kuongoza mnaowatukana na kuwasababishia Umaskini shame on you CCM and r.i.p.
 
Mkuu kama humjui magufuli basi jipange hasa kama wewe ni fisadi kama Lowasa kazi unayo waambie na mafisadi wengine magufuli ni kiumbe mwingine kabisa.

Kaka kwani hujui fisadi ni kikwete?? kusoma hujui hata picha?
 
Nashabikia UKAWA pia na napenda mabadiriko ila kwa hiyo video yako ni pumba tupo hamna hoja uliyojibu cha maana zaidi ya wewe kuongezea matakataka yako kama hao ulio wasema.

UKAWA hatupayuki na kuongea pumba hovyo hovyo namna hiyo maana hatutajitofautisha na hao maana wote tutakua pumba pia.
 
Kama unaweza kumchukua mtu fisadi kama Lowasa halafu unataka awe Rais wa nchi hiyo ni akili matope?
tupangie mambo aliyofisadi, usiwe kama wale wanaosema waislamu wanakashifu wakristo lakini hawasemi wamesema nini kukashifu
 
Yaaaani hata msemeeeweeeeee hatuwezikibali mawazo sisimu Tunaifaahamu magufuli Tunamfahamu shida sio magufuli shida SSM hicho na mfumo KAZI wake mguf angewa chama kingine angeeleweka ila sio kwaalopo
 
Mkuu kama humjui magufuli basi jipange hasa kama wewe ni fisadi kama Lowasa kazi unayo waambie na mafisadi wengine magufuli ni kiumbe mwingine kabisa.

tunamfahamu Makufuli ni kiumbe kilichouza nyumba za serikali na kufisadi mabiilion kwa mujibu wa report ya CAG.
 
Mkuu kama humjui magufuli basi jipange hasa kama wewe ni fisadi kama Lowasa kazi unayo waambie na mafisadi wengine magufuli ni kiumbe mwingine kabisa.

Kiumbe mwingine kwa kuwa ulimuumba wewe!! Acheni akili zenu zifanye kazi mkuu! Hii kauli yako imekaa kitoto na kipuuzi sana. Magufuli ni kiumbe asiekuwa binadamu au unajiandikia tu kwa kuwa unajua kuandika na kusoma?
 
Makufuli kashaanza kutudanganya alisema atatumia chopa katk mikutano ata tumia gari hilo limemshinda anajipyaaaaaaa hapa lowasa
 
Nashabikia UKAWA pia na napenda mabadiriko ila kwa hiyo video yako ni pumba tupo hamna hoja uliyojibu cha maana zaidi ya wewe kuongezea matakataka yako kama hao ulio wasema.

UKAWA hatupayuki na kuongea pumba hovyo hovyo namna hiyo maana hatutajitofautisha na hao maana wote tutakua pumba pia.

Uwe Na Adabu, imeonyesha heshima Kubwa sana Kwa Mkapa, Nikimwita Mhesimiwa Rais mara zaidi ya 20, Ila Tu Nimempinga, Nimeonyesha Heshima kwa Magufuli. Unataka Nionyeshe heshima Kwa Lusinde na Chenge. Wewe Ungekuwa Mwanaukawa Usingenitusi Mimi (Pumba Gani?)

Lowassa Unayesema Unafurahia Kuwepo kwake Ukawa? Kwa sehemu Kumetokana na Mchango wangu. Wakuu wa Ukawa wanathamini Mchango wangu, Watanzania siku moja watathamini Mchango wangu. NAHESHIMU MAONI YAKO JUU YANGU KWAHERI

https://www.youtube.com/watch?v=C6ihg_N3zT4

https://www.youtube.com/watch?v=JouCrILq5is
 
Back
Top Bottom