Maturity in CHADEMA

Maturity in CHADEMA

Mwasongwec

Member
Joined
Oct 15, 2007
Posts
5
Reaction score
0
Nimekuwa najaribu observe baadhi ya matukio yanayo kihusu CHADEMA kama chama; ukianza na tukio la Mh. Zito kuwa kinyume na wabunge wenzake baada ya hotuba ya JK kufungua Bunge, kisha baadhi ya kauli na nyendo za Mh. Shibuda; The way they have handled all these issues made me admire CHADEMA, look like kuna deep maturity on dealing these kind of hard characters and that shows si chama cha msimu, kimekua, mizizi yake inashika udongoni...... Oh man I`m not CHADEMA member
 
we! Makamba hajakaa kmya ila cku hz ana wasemaj wake. Sophia, Jk, Wasira, Tendwa, Chiligati.

Nimeipenda hii, yaani kama msemaji wako ni Sophia Simba huyo anayesemewa akifunguka nadhani yamtokayo ni kinyaa tupu.

Kweli CCM zaidi ya uijuiavyo!
 
u r not CDM??Mmh I can't hold this...!!
 
mkuu ndio faida za kuwa na gud strategist kwenye chama.. sio wale wa kijani chama kinaendeshwa kwa propaganda za kijinga. kuanzia katibu mbumbumbu hadi wabunge wake(hapa sio wote kuna wengine wako makini sana)

watamkumbuka sana mangula hawa watu at least he had vision, sijui yuko wapi huyu mzee

cdm imepangwa ikapangika mwalimu kabla ya kufa aliliona hilo ndio maana aliwaambia kule mbeya kuwa siku moja cdm itachukua dola ya nchi hii
 
Simply because Dr Slaa amepevuka sana kisiasa hivyo mambo yanakwenda kwa umakini mkubwa
 
mkuu ndio faida za kuwa na gud strategist kwenye chama.. sio wale wa kijani chama kinaendeshwa kwa propaganda za kijinga. kuanzia katibu mbumbumbu hadi wabunge wake(hapa sio wote kuna wengine wako makini sana)

watamkumbuka sana mangula hawa watu at least he had vision, sijui yuko wapi huyu mzee

cdm imepangwa ikapangika mwalimu kabla ya kufa aliliona hilo ndio maana aliwaambia kule mbeya kuwa siku moja cdm itachukua dola ya nchi hii

Mangula yupo lkn haivi na Mkwere vinginevyo angesharudi
 
Back
Top Bottom