Matured men only

When you say you need someone to 'shower you with all a woman wants' what exactly do you mean? Some women just want a tender loving presence. Others want expensive gifts. Others want sex 24/7. What exactly do you want. A matured man like me can make you feel loved to extreme. But I first want to know exactly what you want
 
Daah,mnitafsirie kwa kiswahl wadau,maana nmetoka kapa hapa..wenda naikosa fursa adhimu
 
Man just PM her and find out
 
Sidhani Kama huyu ni matured kama anavyotaka.
Huwezi kuandika mwandiko wa hivyo, hata sehemu ya kupumzika hakuna!!!
Khaaaa!!
Hakuna mkato, nukta, mshangao!!!
 
utupe na mrejesho basi kama huko PM kimeeleweka au vipi ili kuwapa moyo na wengine wenye hitaji kama lako
 
Kiinglish,wengine hatujui,nimekosa fursa maridhawa kabisa.
 
Daah..yaani huo mwandiko hata nukta wala kituo hamna..
 

kuwa mvumilivu tu naamini watu mature wamejaa tele humu
 
Wacha nijisogeze PM, maana kwa mkazo huu wa anko, tunadaka kama senene bukoba😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…