sasa ndio u PM ase uone anasemajeDuh mbona kama umeanza vizuri then ukanivuruga nami nikavurugika kabisa!
Sijajua unamshauri matured man au matured women.
Na lengo hasa ni company ya kimapenzi lakini dah mbona umechanganya changanya na vituo hujaweka wataka tuteleze tu hadi koo likauke?
Kama ujumbe upo lakini umenimiksia na pig mix humo humo .... au umelewa mkuu
Papriku unamwachia nani..?Natamani ningekuwa matured man ili nikwapue huu mzigo!
Paprika si wa kwako mkuu?au amekupiga chini???Papriku unamwachia nani..?
Kama lugha ya bepari inakuona.....Duh mbona kama umeanza vizuri then ukanivuruga nami nikavurugika kabisa!
Sijajua unamshauri matured man au matured women.
Na lengo hasa ni company ya kimapenzi lakini dah mbona umechanganya changanya na vituo hujaweka wataka tuteleze tu hadi koo likauke?
Kama ujumbe upo lakini umenimiksia na pig mix humo humo .... au umelewa mkuu
Shida ni vituo mkuuKama lugha ya bepari inakuona.....
Bora ukae kimya na usijitie aibu
Akuu mm sijawahi bebezana na paprika..Paprika si wa kwako mkuu?au amekupiga chini???