Matured born again christian men for marriage

Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana na nia, dhamira na haja ya moyo wako. Hitaji lako likapate kibali na kutimia sawa sawa na mapenzi ya Mungu.🐒

Mungu akubariki sana
 
Unafikiri kuna mwanaume amefika 35 na yupo single? ni either hataki kuoa au hayupo tayari
tofauti sana kwenu mnachezea sana bahati ujanani uzeeni mnazitafuta

anyway mjilipue vijana ila humu waoaji hawapo
 
Pm kuna nini kwani mbona ghafla sana muheshimiwa 😆😆
Relax madam,
ni katika jitihada tu za kuhakikisha anafanikiwa, maana ameongea kwa uchungu sana mpaka nimesita kumfuata pm kwa ushauri na mawaidha zaidi 🐒
 
Hicho kipengele cha financially stable ndo wengi kinatutoa KO.
 
Nyie born again si mnasemaga bwana hua anawaonyesha mume/mke. Vipi wewe hujaonyeshwa mpaka unakuja kutafuta humu duniani..? Na je ukimpata mwenye hivyo vigezo utaenda tena kuomba uonyeshwe kama ni yeye au ndio utabeba huyo huyo?
 
Punguza dharau
Heshimu wanaume
Acha u much know na kujifanya kwamba unaweza kila kitu mpaka kuwatoa akili wanaume ambao wamekuzidi vitu vingi
Katika hao kuna wanaotafuta mke
Acha kuwa selective
Usidharau watu

Kuna wadada wawili nawajua wamezaliwa maisha bora tu wana hizo tabia hapo juu hawana waume hadi leo wako kwenye age 30s
 
Upate hitaji la moyo wako. Kwani ubao unasoma ngapi ngapi?
 
Inabidi bi harusi achukue ushauri siku zinaenda 😁
 
Umri wako unapanda na kushuka utafikiri vipimo vya jotoridi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…