Matunda ya jukwaa hili

Hongera na wewe kwa kupata kazi na kupiga kazi mkuu
 
Ndio. Kwa maelezo ya madogo, hao yas wanalipa kwa hawa supervisors(waliopewa tenda) . Kuna wanaosema hela ishatoka lakini hawa jamaa waliopewa tenda ndio wamewapiga madogo walioingia field kupiga kazi
Dah so kuna uwezekano na huyu alikuwa supervisor?
 
Mim nilikuwa mbandikaji , sio supervisor na pesa yangu ya siku Moja sijalipwa na hao watu nikiwapigia simu hawapokei , ila ofisi zao zipo sinza
Jifunze namna ya kujua kujielezea kwa usahihi. Utakuja kuhukumiwa kwa kosa ambalo haujalifanya.

Hata hivyo, nashukuru sana pale jitihada zangu zinapofanikisha kumsaidia kijana mwenzangu. Ushauri wangu, kwa wakati huu ambao bado unapambana usichague kazi, usipoteze muda na rasilimali ku-maintain mahusiano na mwanamke pia usilazimishe kuishi kwa standard ya juu zaidi ya uwezo wako
 
Jifunze namna ya kujua kujielezea kwa usahihi. Utakuja kuhukumiwa kwa kosa ambalo haujalifanya.

Hata hivyo, nashukuru sana pale jitihada zangu zinapofanikisha kumsaidia kijana mwenzangu. Wakati huu ambao bado unapambana usichague kazi
🙏 Nashukuru kaka wew ndo ulinifanya nikapata hio nafasi , endelea kuwa na moyo huohuo
 
🙏 Nashukuru kaka wew ndo ulinifanya nikapata hio nafasi , endelea kuwa na moyo huohuo
Ni vyema kuleta mrejesho ila ilitakiwa pia kuelezea pale juu kuwa hukumaliziwa Hela Yako,na ule Uzi sijui umefutwa? Siuoni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…