Huu mti jina sijui ila wengine wanaita mhadarati kama sijakosea. Unavimatunda vinapendwa sana na popo ila ni mazuri sana kwa wagonjwa wa kisukari. Huwa inashusha sukari na kuifanya iwe normal. Unakula vitunda vilivyojaa kiganja.
Huu mti jina sijui ila wengine wanaita mhadarati kama sijakosea. Unavimatunda vinapendwa sana na popo ila ni mazuri sana kwa wagonjwa wa kisukari. Huwa inashusha sukari na kuifanya iwe normal. Unakula vitunda vilivyojaa kiganja.View attachment 1275038

Huu ni mpapai. Unasaidia kutibu vidonda vya tumbo.
Jinsi ya kutumia.
Unachukua mapapai ambayo hayajamokaa, unayaosha vizuri, alafu unakatakata vipande vidogovidogo bila kutoa chochote, unaweka ndani ya dum na kujaza maji uwiano sawa na mapapai. Unayaacha kwa mda wa siku nne alafu utaanza kunywa majiyake yake kikombe kimoja asubui na jioni kabla hujala kitu. Kwa mda wa wiki hadi mwezi inategemea na ukubwa wa tatizo. Vidonda vinapona kabisa