KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Wanasema unaweza kumsoma mtu kupitia matumizi yake, twende kazi
eeeeeh nduguWanasema unaweza kumsoma mtu kupitia matumizi yake, twende kazi
View attachment 2249979
View attachment 2249980
Unatumia app gani ya budgeting.Wanasema unaweza kumsoma mtu kupitia matumizi yake, twende kazi
View attachment 2249979
View attachment 2249980
Relatives 6000 alafu jane na the girl 40000 total.Wanasema unaweza kumsoma mtu kupitia matumizi yake, twende kazi
View attachment 2249979
View attachment 2249980
Mbususu inanguvu kuliko damu yakheMe natumia App ya “Money Manager” duh inasaidia lakini kua aware na matumizi.
Ila naona relatives buku 6 hafu Jane na Girls wanataka kuchukua Laki nzima.
Uko vizur.Mana sijaona mahali penye rejesho ...ina maana hujakopa....
Mkuu...The girl ndio kuhonga??
Me natumia App ya “Money Manager” duh inasaidia lakini kua aware na matumizi.
Ila naona relatives buku 6 hafu Jane na Girls wanataka kuchukua Laki nzima.
Relatives 6000 alafu jane na the girl 40000 total.
Kazi ipo walahi.



ndo kupitia hilo nachotaka ni unisomeNdugu wote wanajiwezaRelatives 6000 alafu jane na the girl 40000 total.
Kazi ipo walahi.