Kwahiyo huko forex kulikuwa kuna hali gani mkuu mpaka ukaamua kutupia ½ ya mapato yako ya mwezi june kideposit hukoNaandika tu matumizi maana ndo nataka niyacontrol coz nafanya biashara
Sahv gar lilizingua ambalo ni la kazi pia na kuweka hella forex ndo kumepandisha sana matumizi
Tena vitu vidogo vidogo ndio vina chukua hela nyingi sana..watu wanaona nyingi Ila ukiwa unaandika matumizi yetu ni makubwa.
hongera mkuu kwa utaratibu mzuri.Tena vitu vidogo vidogo ndio vina chukua hela nyingi sana..
Sasahivi najitaahidi kuandika kila tumizi..ili niweze control matumizi baada ya kufahamu wapi hela nyingi inatumika.
#MaendeleoHayanaChama
Kwahiyo huko forex kulikuwa kuna hali gani mkuu mpaka ukaamua kutupia ½ ya mapato yako ya mwezi june kideposit huko
watu wanaona nyingi Ila ukiwa unaandika matumizi yetu ni makubwa.
Tena vitu vidogo vidogo ndio vina chukua hela nyingi sana..
Sasahivi najitaahidi kuandika kila tumizi..ili niweze control matumizi baada ya kufahamu wapi hela nyingi inatumika.
#MaendeleoHayanaChama
Ni kama dollar 400+ hizi ukitulia vizuri unatakiwa upate ata dollar 10-50 kwa siku
Ni kama dollar 400+ hizi ukitulia vizuri unatakiwa upate ata dollar 10-50 kwa siku
=Plan yngu forex ndo iwe inalipia matumizi yangu ya kila siku ili biashara ijikuze yenyewe
Nmewekq ella kubwa ila natembea na lot size ndogo sana
Mkuu kusaidia watu sio sadaka ni msaada,biblia iko wazi sadaka zinavyotolewa.Unafanya forex..na ni kiasi gani inakuingizia..mpaka uiwekee hela nyingi hivyo.?
Nakushauri anza kuweka hela ya sadaka na sadaka sio lazima uipeleke kanisani..sadaka wape wahitaji hasa wenye njaa..wenye ukosefu wa mavazi..waweza somesha mtoto toka mazingira magumu..n.k.
Itafungua milango mingi sana mana maandiko yanasema ni heli mkono utoao kuliko upokeano.
#MaendeleoHayanaChama
OkayLengo ni anatangaza forex
SawaWarembo mvutike hapo kuwa jamaa yupo vizuri
Vipi umemcheki jamaaa hapo. Sii mnasema mwanaume hela sasa jamaa anavyo japo vya kubadilisha mbogaSawa
Mimi nimesema mwanaume hela!!!when?where?Vipi umemcheki jamaaa hapo. Sii mnasema mwanaume hela sasa jamaa anavyo japo vya kubadilisha mboga
Mnachezea fursa nyieMimi nimesema mwanaume hela!!!when?where?
Sijamcheki.
Sio lazima kanisani pia, kuna sehemu fungu la kumi wameandika kimsingi litumike 'kula bata' wewe na wanafamilia wako Kumbukumbu la Torati 14:22-29Mkuu kusaidia watu sio sadaka ni msaada,biblia iko wazi sadaka zinavyotolewa.
Mfano fungu la 10 ndo ata usijidanganye kumpa masikini, mana hiyo ni ya Mungu, peleka kanisani kama ilivyo.
Malaki 3:10
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app