KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Mbona huna income ila una expenses kubwa sana?
Mapato na matumizi
Warembo mvutike hapo kuwa jamaa yupo vizuriLengo n nn sijaelewa..!
Lengo ni anatangaza forexLengo n nn sijaelewa..!
Lengo ni anatangaza forex
Acha umalaya kaka, baki njia kuu, unatumia sana kwa wanawake wasio wako na dem wako hutumii sanaApo nimeweka tu ila forex imechukua sehem kubwa ya matumizi mwezi huu
Mtu mwenye upeo anaweza jua mimi ni mtu wa aina gani, labda -kwenye matumizi yangu hakuna sehem ya sadaka, ko sijaenda kanisani mda
View attachment 2278512
View attachment 2278513
Unafanya forex..na ni kiasi gani inakuingizia..mpaka uiwekee hela nyingi hivyo.?Naandika tu matumizi maana ndo nataka niyacontrol coz nafanya biashara
Sahv gar lilizingua ambalo ni la kazi pia na kuweka hella forex ndo kumepandisha sana matumizi
Afu matumizi makubwa hamna Wazazi, wewe mtu we
Chakula kinachukua sehemu kubwa sana ya matumizi yangu ikifuatiwa na usafiri.
Tupeane mbinu za kupunguza haya matumizi nyie mnafanyeje katika hili.?
#MaendeleoHayanaChama View attachment 2278927
Unafanya forex..na ni kiasi gani inakuingizia..mpaka uiwekee hela nyingi hivyo.?
Nakushauri anza kuweka hela ya sadaka na sadaka sio lazima uipeleke kanisani..sadaka wape wahitaji hasa wenye njaa..wenye ukosefu wa mavazi..waweza somesha mtoto toka mazingira magumu..n.k.
Itafungua milango mingi sana mana maandiko yanasema ni heli mkono utoao kuliko upokeano.
#MaendeleoHayanaChama
Acha umalaya kaka, baki njia kuu, unatumia sana kwa wanawake wasio wako na dem wako hutumii sana
Muweke ndan huyo dem matumizi ya kuhonga yatapungua