Matumizi ya simu kwenye ndege

Kuna Siku Npo Kwenye Fastjet Mbeya To Dar Mhudumu Pamoja Nakumuelewesha Kwamba Simu Yangu Ina Flight Mode Ila Bado Aliningangania Ni Switch Off.

Wahudumu kama hao hawana tofauti na polisi wa kibongo...

Hakuna watu wagumu kueleweshwa kama polisi wa kibongo aisee....
 
Dah ukiangalia mfumo wa simu na mawasiliano ya ndege,,kiukweli simu hazipaswi kuwa wazi hasa wakati wa kukata anga/atmosphere layers,,kupanda na kushuka hasa usafiri wa taarifa/electromagnetic fields zinazobeba taarifa kutoka kwenye uso wa dunia kwenda kwenye rada. Ambapo zinapanda na kushuka kuleta taarifa mbalimbali. Ni dhahiri zinaleta hitilafu mfumo wa mawasiliano wa ndege.
 
Ni kweli swala la mawasiliano ni la muhimu kabisa kwenye usafiri wa anga lakini mbona kwenye Ndege zinzoenda mashariki ya mbali kama emirate, nk huwa naona watu wanawasiliana na simu au huwa sio simu na wengine hadi hutumia internet naomba kusaidiwa hapo
 
Hayo mambo ya kizamani wakati teknolojia bado changa
hivi sasa imebaki mazoea hakuna muingiliano wowote labda kupunguza kero kwa abiria wenzako tu na hilo wangewaelewesha watu watumie text na internet na sio voice calls
Ndege za kisasa zinaprovide WIFI na Voice call kupitia Sattelite..mfano ni hizi Boeing A380
Labda ndege zetu ni chakavu na za kizamani!
Uelewa wa Cabin Crews pia ni tatizo hawana exposure kubwa..kuna baadhi ya states Marekani hivi sasa simu za mkononi zimeruhusiwa wakati wa take off na landing kwani mara nyingi kwenye umbali mrefu angani simu hazipati network ya ardhini
 

Nashukuru kwa elimu na mwanga ulionipa,sasa naenda kuwa nuru kwa wengine.
 
Siyo take off na landing tu mkuu, hata angani bado pilot na 1st officer wake huwa wanawasiliana na points watokako na waendako ili kujua mambo mbalimbali kama hali ya hewa, muda wa kutua, u-bize wa uwanja, n.k. Sasa flight mode hairuhusu simu kuwa ktk mtandao hivyo haisumbui kuingilia mawasiliano. Ukiwa ktk flight mode unaweza kuendelea na mambo mengine ktk simu yako kama calculator, kusikiliza miziki, kuangalia na kupanga picha, n.k.
 
Hivi kwanini ukipanda ndege zetu za hapa bongo huwa wahudumu wa ndege wanakulazimisha kuzima simu......wakati simu nyingi huwa zina flight mode .....

Ndugu sibongo tu hata ndege za nnje(out of Tanzania) lazima uzime simu pale inapotaka kupaaa au kutua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…