mgosi agosigwa
Member
- Dec 4, 2013
- 24
- 4
Naomba mnieleweshe wana JF, hivi pembe za Ndovu zinatumika kutengenezea nini?
Naomba mnieleweshe wana JF, hivi pembe za Ndovu zinatumika kutengenezea nini?
Naomba mnieleweshe wana JF, hivi pembe za Ndovu zinatumika kutengenezea nini?
Unaweza ukapika supu au ukachemsha ukala na kachumbari.
Unaweza ukapika supu au ukachemsha ukala na kachumbari.
Pembe za ndovu hutumika kutengeneza vitu mbalimbali kama mapambo ya thamani, hutumika kutengeneza vifungo vya nguo, hutumika kutengeneza gundi maalum, hutumika kutengeneza dawa ya kuongeza nguvu ya misuli ikiwamo madawa ya kusisimua miili kwa jinsia zote yani kwa wanawake na wanaume lkn usisahau pia madawa ya kuongeza nguvu za kiume wengine waongezee