Surgical Blade
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 349
- 16
Mkuu kuresume ni kawaida,
ila hii operamin haiwez kudownload kama browser ya kawaida
katika hii opera mini 7.1,
kwa mfano ukijaribu ku download labda ni wimbo, wakati unaendelea kudownload huwez endelea kubrowse au kudownload kitu kingne mana itakwambia (download failed)
hah mkuu hiyo,
mbona siyo symbian,
au nimekosea!
Mana mi mwenyewe nime2mia operamini 7.1 , na Operamini Next 7.1 pia na operamini 11.5 kwenye N73
na sasa kwenye C5 03 operamini zote mambo yale yale!
Kaka chief-mkwawa hiyo operanini ni ya kune Symbian tu au ata wa android? Je ni version ipi ya operamini nzuri (speed nzuri ata kwenye low net signals)?
Si kweli mimi ninayo N73 na ninauwezo waku download hata nyimbo 5 kwa wakati mmoja ila zitapishana dk kutokana na urefu wa nyimbo na ipi ya kwanza na ninatumia hiyo Opera min ya 7.1 kwa kufanyia kila kitu kinachohusiana na Net ila kivumbi ni kama zile Mb42 za phone kama zimejaa ebwana hata Sms huwezi kutuma wala kusoma mpya itaandika memory full delete some iterms data
Kaka ukiwa na symbian kila kitu unadownload kwenye mmc unaweza iacha phone memory kama ilivo
dah sie yetu macho