Matumizi ya mapato ya mtanzania yana walakini

Tausi Mzalendo

JF-Expert Member
May 23, 2010
1,471
722
MTANZANIA KIUMBE WA AJABU SANA!

MAPATO YANATUMIKA ATI KUSUTIA WAMBEYA - kipindi maarufu cha redio clouds "LEO tena"kimeleta "LIVE" hekaheka za watu wazima OVYOOOOO kwenda kuposa, kulipia mahari na hatimaye kushereheka kuolewa mwanaume anayesifika kuchonganisha watu pande za Dar es salaam!

cha kushangaza basi....sherehe hizo zilizojaa nderemo na vifijo ziliambatana na pati ya nguvu sana iliyogharimu malaki kama siyo mamilioni ati kumsuta na kumfunza adabu mwanaume mmbeya! HALAFU TUNASEMA WATANZANIA NI MASKINI WA KUTUPWA.

MUDA UMEFIKA TUKAJUA KUWEKA SAHIHI VIPAUMBELE VYA NAMNA TUNAVYOTUMIA MUDA NA PESA ZETU.Serikali isifumbie macho upuuzi huu...
 
Back
Top Bottom