mmhh...inamaana umepata kama unit moja tu...duh...lakinin inategemeana..inawezekana kuna madeni ya nyuma mlikuwa mnadaiwa haswa kama hukununua umeme mda mrefu..(kuna kuwa na fixed cost za tanesco kama service line charge sijui kuna ewura na madude gani sijui) ambayo kwa kawaida gharama yake si kubwa sana kwa mwezi (kutegemea na matumizi yako) ila kama unakuwa hukununua umeme kabisa mwezi mzima huwa inajilimbikiza..ukija kununua tu inakatwa automatically...so ndo maana ni vizuri kuwa unanunua umeme kila mwezi hata kama unao wa kutosha ni bora ununua hata wa efu 5 tu kulipia hivi vidude...zaidi ya hapo itakuwa kuna kitu cha ziada hapo mkuu..nenda ofisi za tanesco kuwaeleza!