Ndondobwila
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 562
- 409
Hodi wanaJF!
Nimetonywa kuwa Lowassa anatumia ndege 3 na helcopter 1 katika mizunguko yake ya kutafuta wadhamini. Anatumia Sh. 6,000,000 kwa saa 1.30 kwa kila chombo!! Kwa leo vyombo hivi vimepaki uwanja wa ndege wa Dodoma vikimsubiri atoke bungeni.
Anasafiri na waandishi wa habari 20. Kila mmoja analipwa Sh. 100,000 kila siku. Kula na kulala ni mbali ya hiki kiasi!!!
Hela zinawasilishwa kwake katika viroba kila siku. Wachangiaji wa hizi ni pamoja na Rostam, Mengi, Azam, n.k. yaani mafisadi karibu wote wako nyuma yake!!
Swali kubwa la kujiuliza ni kwamba kawaahidi nini wote hawa???
Nimeshtuka sana kusikia kuwa Mengi ni mmoja wapo. Kumbe anapojidai kuwatetea wanyonge ni uongo mtupu!! Kaungana na mafisadi kutaka kuifisadi nchi yetu!!!
Source: Mwandishi wa habari aliye kwenye huo msafara.
Tafadhali Mods msiungamnishe post hii na nyinginezo, iko tofauti
sidhani kama Azam yupo katika hili, labda hao wengine
Lowasa hachezi na akili za maskini wa tanzania. Anacheza ana akili za matajiri. Hiyo orodha ya wanaomwezesha umeona kuna maskini?lowasa kwanini acheza na akili za maskini wa tanzania?
we kumbe ndio hujuwi.wako matajiri wakubwa watano ambao wamejipanga jamaa anaingia ikulu.akiwemo bakhresa.wanataka jamaa akiingia kuanzia gesi na kila kitu vinakuwa chini yao.wewe huoni urafiki wa Mengi na Rostam sasa hivi ulivyokolea? Ni kwa sababu wapo timu moja.mzee Mengi mnafiki sana.anajifanya ana uchungu na watanzania lakini mlango wa nyuma anawazunguka na kuwauza.
Lowassa naona anawawasha makalio....kila siku ni yumo midomoni mwenu...hadi hamfanyi kazi za kujiingizia kipato na mnakuwa hasara kwa Taifa na kubakia kulitegemea Taifa badala ya Taifa kuwategemea ninyi.
Hodi wanaJF!
Nimetonywa kuwa Lowassa anatumia ndege 3 na helcopter 1 katika mizunguko yake ya kutafuta wadhamini. Anatumia Sh. 6,000,000 kwa saa 1.30 kwa kila chombo!! Kwa leo vyombo hivi vimepaki uwanja wa ndege wa Dodoma vikimsubiri atoke bungeni.
Anasafiri na waandishi wa habari 20. Kila mmoja analipwa Sh. 100,000 kila siku. Kula na kulala ni mbali ya hiki kiasi!!!
Hela zinawasilishwa kwake katika viroba kila siku. Wachangiaji wa hizi ni pamoja na Rostam, Mengi, Azam, n.k. yaani mafisadi karibu wote wako nyuma yake!!
Swali kubwa la kujiuliza ni kwamba kawaahidi nini wote hawa?
Nimeshtuka sana kusikia kuwa Mengi ni mmoja wapo. Kumbe anapojidai kuwatetea wanyonge ni uongo mtupu!! Kaungana na mafisadi kutaka kuifisadi nchi yetu!