Matumizi ya kinga bado yapo?

Ukifuata maoni ya baadhi ya wadau hapa unaweza kuporomoka uzito hadi kg 3 huku unajiona, jambo la muhimu kuzingatia ni kwamba UKIMWI upo na UNAUA. Ukishindwa kuacha kabisa tumia mpira.
 
Ukifuata maoni ya baadhi ya wadau hapa unaweza kuporomoka uzito hadi kg 3 huku unajiona, jambo la muhimu kuzingatia ni kwamba UKIMWI upo na UNAUA. Ukishindwa kuacha kabisa tumia mpira.
Kweli mkuu unaweza ukawa unahara bila breki
 
Utawala huu unajua kukusanya kodi tu, hizo kampeni za kueneeza elimu juu ya AIDS mtaambiwa wapiga dili

What goes around always comes around
 
NCHI HII MWENYE KINGA NI RAIS TU NAPO AKIWA MADARAKANI,AKISHA STAAFU TU NAYE NI KAVU TU..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafanya bila kujikinga, ila sibadilishi wanawake. Wale ambao kazi yao ni kubadilisha wapenzi nawashauri wasiache kutumia kinga.
STD's mwanamke mmoja anatosha kukuambukiza

unajiaminisha tu kwamba unajilipua kwake tu ww unajua moyoni mwake umebeba siri gan??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kuna watu daily ana mpenzi mpya yeye ni kuamsha dude tuu kinga haipo kichwani kabisa kama vile hajawahi kuisikia
nan amewadanganya ukimw wanapata malaya tu wanaobadilisha wasichana??
unajua nn kuhusu mwenzako?? au kisa hujawahi kumfuma ndo unajiamin??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…