Matumizi ya kinga bado yapo?

Reyna

Senior Member
Joined
May 19, 2013
Posts
122
Reaction score
28
Habari za jioni wadau wa jukwaa hili poleni na majukumu ya kila siku. Mwenzenu nina swali lenye ukaka kidogo ambalo wengi hawapendi hata kulisikia lkn ni wajibu tukumbushane kutokana na hali ilivyo swali liko hivi!! Hivi matumizi ya kinga bado yapo au ndio kuchenjuana tuu? Maana naona hata matangazo ya kinga hakuna tena na maambukizi ya ukimwi yanapamba kasi hali ni hatari watu hatujali kabisa ndio nauliza na zile kampeni zingine za kuzuia UKIMWI ziliishia wapi? Kizaz kinaangamia kwa kukosa maadili jamani
 
Kinga ya nini mkuu na virusi vyenyewe Hakuna, Ukimwi upo kwa wenye lishe na mazoea mabovu ya afya.
Mkuu kwahiyo ukiwa na hela ni kuchojoana tuu kwa kwenda mbele?
 
Mkuu kwahiyo ukiwa na hela ni kuchojoana tuu kwa kwenda mbele?
Ondoa shaka! Fanya kistaarabu kwa kuwa magonjwa ya zinaa yapo, pia epuka mimba zisizotarajiwa. Zaeni mkaijaze nchi usihofie kwamba kuna kirusi cha HIV kwenye coitus!!
 
Nasikia hata mimi baadhi wanaendelea kuvaa
 
Ukimwi siku hizi siyo mkali kama AIDS

Dont settle for less
 
Bora nisifanye kabisa kuliko kuvalishwa mipira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…