download manager nyingi huwa zina integrate na browsers automatically, na kama haija integrate nenda kwenye settings (soma help yake for more info on how to do it) halafu weka iwe ina capture downloads za hiyo browser unayotumia. Ubora inategemeana kuna zingine ni free version halafu zina features zote e.g. Fdm & orbit downloader na zingine ni free ila zinakuwa na limitations i.e few connections e.g. Dap free & dam free wakati ukinunua unapata all features. Nina recommend utafute idm hii ni simple kutumia halafu ipo faster, ukidownload watakupa 30 days trial. Ila unaweza search google for cracked one na ukatumia free.note: Hakikisha una latest version maana old version inaweza isifanye kazi kwenye na new browser.