Yes you can!Wakuu nauliza ninawezaje kuingiza vitu kama music, picha, na nyaraka nyingine kwenye i pad. Je kwa kutumia i pad naweza ku type an ms word document ?
Ndio waweza ku type kwa kutumia App yao itwayo smart office ina uzwa kama $12..Kwenye App Store.
hapo kwenye dola ndio panapomchosha mleta mada..