Matumizi ya dawa za kuzuia mimba kwenye vipodozi

Kuna MTU kule Facebook huwa anatangaza sana mafuta ya kukuza nywele zinarefuka za mhindi hazifui dafu sasa huwa najiuliza ni kweli au changa la macho tu
mimi wapite kushoto kule,nywele inakuzwa na diet na mafuta asili mfano ya mnyonyo ama ya nazi
 
duuh kazi ipo na kwenye matangazo wana tilia mkazo sana kuwa ni ya asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…