Matumizi ya condom yamenishinda kabisa

Matumizi ya condom yamenishinda kabisa

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,602
Naomba kudeclare kabisa siko hapa kupinga matumizi ya Condom kwa namna yeyote ile ila;

Toka nimeingia kwenye ndoa takribani miaka saba iliyopita nimezoea kula kavu kavu bila shaka wakubwa mnanielewa ila before marriage nilikuwa mtumiaji mzuri sana wa rough rider, Salama, 3bomba nk na nilikuwa nikizifurahia sana.

But hivi majuzi nimekutana na circumstance iliyonilazimu kutumia condom but you can't believe I'm not enjoying at all yani nahsi kama I'm out of vag.ina ikabidi nighairi match mpaka siku nyingine tukacheki afya mana sio rahisi kupoteza future kwa mbunye ya kuonjeshwa tu.

Wadau nipeni ushauri mana nimejaribu kujitune kisaikolojia kuwa I'm fuc.king a beautful lady but sienjoy na I'm not reaching the climax mmmmhh this is real bad.

Wadau mnaopiga kavukavu njia kuu michepuko mnawezaje kipiga na mpira?
 
Kama hujaoa Siku zako zinahesabika.
 
Sio wewe tu nafikiri kuna haja wanasayansi kufikiria kuziboresha zaidi mana ni reach of frinction na maUTI kikubwa tulia njiaa kuu weweee

Nani kakuambia mwanaume anatosheka mwanamke mmoja
 
Kaka wewe kama.mie ndo maana nashindwa kuchepuka. Sipati mzuka kabisa. Kuna wakati wife alichelewa kuweka kinga si nikanunua duuh mechi ilikuwa mbovu zaidi ya juzi taifa. Ikadoda hapo tukaendelea kuuza mechi, lkn kwa makubaliano ya kunyeshea nje. Nilifanikiwa siku ya kwanza ya pili nilipigwa pini kama ya undertaker halafu tukakumbuka haaa tumechemsha! Kilichofuata hapo ni kuandikishana tu RITA
 
Naomba kudeclare kabisa siko hapa kupinga matumizi ya Condom kwa namna yeyote ile ila;

Toka nimeingia kwenye ndoa takribani miaka saba iliyopita nimezoea kula kavu kavu bila shaka wakubwa mnanielewa ila before marriage nilikuwa mtumiaji mzuri sana wa rough rider, Salama, 3bomba nk na nilikuwa nikizifurahia sana.

But hivi majuzi nimekutana na circumstance iliyonilazimu kutumia condom but you can't believe I'm not enjoying at all yani nahsi kama I'm out of vag.ina ikabidi nighairi match mpaka siku nyingine tukacheki afya mana sio rahisi kupoteza future kwa mbunye ya kuonjeshwa tu.

Wadau nipeni ushauri mana nimejaribu kujitune kisaikolojia kuwa I'm fuc.king a beautful lady but sienjoy na I'm not reaching the climax mmmmhh this is real bad.

Wadau mnaopiga kavukavu njia kuu michepuko mnawezaje kipiga na mpira?

Bado unatumia Condom??...Condom mambo ya kizamani...kula mbichi we jamaa
 
Kaka wewe kama.mie ndo maana nashindwa kuchepuka. Sipati mzuka kabisa. Kuna wakati wife alichelewa kuweka kinga si nikanunua duuh mechi ilikuwa mbovu zaidi ya juzi taifa. Ikadoda hapo tukaendelea kuuza mechi, lkn kwa makubaliano ya kunyeshea nje. Nilifanikiwa siku ya kwanza ya pili nilipigwa pini kama ya undertaker halafu tukakumbuka haaa tumechemsha! Kilichofuata hapo ni kuandikishana tu RITA

Hahaa umenikumbusha mengi sana ebhana nafikiri ndom ni just for young Kids na Wahuni wa kurukaruka but sio wazee wa kutafuta feelings za maana.
Hata mimi ile ya kutoa hela bank ilishanishindaga mana ukizoea kupiz nje likija linakuwa tam mno huwez kumbuka kutoa mwishowe unasema potelea mbali
 
Dah...hakuna sehemu yoyote kwenye katiba ya nchi...Wala kwenye sheria za nchi...wala kwenye katiba ya CDM..CCM..CUF...hata ACT inayozuia kula kavu...uamuzi ni wako...majuto ni mjukuu...wala siyo King...
 
Back
Top Bottom