Matumizi ya braces (Waya wa kurekebisha mpangilio wa meno)

oltukai

Member
Mar 21, 2012
8
3
Hallo.
Ningependa kujua ni umri gani wa mwisho kutumia braces (waya wa kurekebisha mpangilio wa meno)?

Je, kuna alternative ya hiyo?

Asante.
 
Oltukai swali lako halijaeleweka,bracelets kwanza ni nini ????mana c wote wanajua maana ya hilo neno!!! Au lina maana nyingine?
 
Unamaanisha zile zinazovaliwa mikononi kama urembo au zile zinazowekwa kwenye meno (brace) kwa ajili ya kusaidia kupanga meno vizuri? Thread yako mkuu haijakaa vzr,hebu jaribu kuiweka sawa ili ieleweke.
 
Oltukai swali lako halijaeleweka,bracelets kwanza ni nini ????mana c wote wanajua maana ya hilo neno!!! Au lina maana nyingine?
anamaanisha zile chuma ambazo watu huvalishwa hospitali kwa ajili ya kupangilia meno yakae vizuri na kumfanya mtu kua na dental formula nzuri
 
Back
Top Bottom