Matumizi sahihi ya maneno haya

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,230
Reaction score
9,359
wadau naomba kujuzwa matumizi sahihi ya maneno haya "has"have"had" katika sentensi ya kiingereza
 
HAVE,HAS,HAD inamatumizi kadhaa,kwa mfano tunapozungumzia VERB HAVE au kitenzi milikishi,have na has hutumika kuonyesha mtu anamiliki kitu gani.
Ambapo have hutumika ktk nafsi ya I,YOU,WE,THEY na has hutumika ktk SHE,HE,IT ambapo pia HAD hutumika kama past(wakt ulopta) wa verb have.
Kwa mfano unaweza kusema kusema i have a lot of money (ninapesa nyingi) na kwenyd past ukasema she had a lot of money (alikuwa na pesa nyingi) ni kwenye wakati ulopita
Pia have,has na had hutumika katika nyakati kama ya wakati uliopo timilifu ambao ni present perfect tense.
Kwa mfano ukasema ,I HAVE EATEN au she has finished.
Ni muktasari wa matumizi ya have,has na had.
 

duuh nashkuru mwalimu ngoja nile mazoez
 

je kusema I HAD A LOT OF MONEY iko sahihi
 

Je nikisema she have a lot of money...nisahihi?
 
Nikishawahi kusikia vicent makori mtangazaji wa voa english Tv akisema "I have had been there since 1994" alikuwa sahihi jamani?
 
Je nikisema she have a lot of money...nisahihi?

apana hauko sahihi kwa sababu Have tunaitumia ktk wingi mfano they au people au cows but has ktk umoja mfano She,He,it au jina like cow or juma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…