Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Watoto wakicheza mpira katika kiwanja cha kijiji cha Mkaranga wilaya ya Kilolo mkoani Iringa huku wakitumia vyandarua kama nyavu za goli jambo ambalo halikuwa ni lengo la serikali kugawa vyandarua hivyo kwa matumizi kama haya ya viwanjani
/issamichuzi.blogspot.com