Wilson wilfred
Member
- Mar 29, 2014
- 26
- 9
Duuu, basi ajira uwiiiiiii!!!!! Mwaka huuTunaendelea kuhakiki mifugo,wanafunzi hewa na baadhi ya wafanyakazi
Mkuu...Kumbe Uhakiki Hewa Wa Wafanyakazi Hewa Umeshamaliza?? Sasa Watazua Jambo Jengine!! Oh God.. Wanadili na UKUTA kwanza! Wakiuangusha Ukuta Ndiyo Watatoa Ajira..!
[HASHTAG]#TogetherSep1[/HASHTAG]
Mkuu...
Hivi UKUTA ina watu kweli wakuisapoti..!?
Maana huku kwetu kila nayemuuliza kuhusu hili suala la UKUTA huwa anageuka mbogo..!
Isije ikatokea akina Tundu Lissu wakajikuta wenyewe tu Barabarani..!
Watu wanaajiriwa kwenye ofisi za serikaliWaalimu ndo maana huwa mnachapwa viboko na wakuu wa wilaya coz mnajidhaliilisha sana kwa kulia lia cjui nn tatzo? Kwani mpaka sasa hivi nani kaajiliwa mpaka muwe mnalia lia. Yaani inaonekana umeshakata tamaa kabisa bila ajira huwezi ishi.Halafu watu kama nyie jiandaeni kama ni mdada kuwa mboga za sisi wajasiliamali kama mwanaume jiandae kuishi kwa strees.
Na wakifeli sasa hivi...Mkuu Ni Kweli Hilo! Unajua Kauli Ya RC Makonda imetisha Wengi Pale Alipowaambia "Polisi Pigeni Waandamanaji Bila Ya Huruma"..
Ni Hii Ya Sept 1 ikiwa itafail Kutokana na Woga.. Siwezi Tabiri Upinzani utakuwa vipi..... Coz tutawajengea Confidence Watawala Kwa 100% kuwa Waamini Wakiamua Wanaweza...
Hiyo kauli ya RC umeifanyia editing.Mkuu Ni Kweli Hilo! Unajua Kauli Ya RC Makonda imetisha Wengi Pale Alipowaambia "Polisi Pigeni Waandamanaji Bila Ya Huruma"..
Ni Hii Ya Sept 1 ikiwa itafail Kutokana na Woga.. Siwezi Tabiri Upinzani utakuwa vipi..... Coz tutawajengea Confidence Watawala Kwa 100% kuwa Waamini Wakiamua Wanaweza...
C kila mtu anaweza kua mjacria maliWaalimu ndo maana huwa mnachapwa viboko na wakuu wa wilaya coz mnajidhaliilisha sana kwa kulia lia cjui nn tatzo? Kwani mpaka sasa hivi nani kaajiliwa mpaka muwe mnalia lia. Yaani inaonekana umeshakata tamaa kabisa bila ajira huwezi ishi.Halafu watu kama nyie jiandaeni kama ni mdada kuwa mboga za sisi wajasiliamali kama mwanaume jiandae kuishi kwa strees.
Uhakiki wa watumishi hewa utaendelea, provided HEWA bado ipo!Natumai ajira za walimu 2016, zitatangazwa leo, kesho, kesho kutwa au mtondogoo, kwasababu jana ndo ulikua mwisho wa kuhakiki maswala yote ya WATUMISHI HEWA, sasa hakuna kikwazo kingine!!!
Au wataleta kikwazo kingine?? Ha ha ha ha ha ha ha, kama kitakuwepo bas TZ mji wa AHADI!!!!
Kuna mashamba mengi hayana walimajiNatumai ajira za walimu 2016, zitatangazwa leo, kesho, kesho kutwa au mtondogoo, kwasababu jana ndo ulikua mwisho wa kuhakiki maswala yote ya WATUMISHI HEWA, sasa hakuna kikwazo kingine!!!
Au wataleta kikwazo kingine?? Ha ha ha ha ha ha ha, kama kitakuwepo bas TZ mji wa AHADI!!!!
Bora Nisubiri Ajira Yenye Hadhi Kuliko Hii Ya Walimu, Nitafanya Kazi Mwaka 1 Yenye Mafanikio Ambayo Mwalimi Atafanya Miaka 20Ualimu sasa hivi umekuwa dili.
Mkiwa shuleni huko mnakuwa na maneno ya shombo kuhusu hiyo tasnia lkn sasa hivi kila ukiingia humu ajira za walimu.
Endeleeni kuwa wavumilivu, sasa hivi tuna uhakiki wa wanafunzi hewa.