ENANTIOMER
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 1,419
- 804
Naona wametoa tangazo la kazi kwa upande wa RITA, na RITA iko ktk utumishi wa umma. Hii ni ishara njema kuhusu kufunguliwa kwa ajira na kupanda kwa madaraja kwa watumishi wa umma. Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
