hizo video umejiwekea uangalie mwenyewe au,huoni hakuna hata mtu mmoja anayekuambia kuwa ameziona,ngoja tecno haters waje wapate cha kuongea,yaani official page ya tecno mnashindwa ku-upload video,mnatupa vilink uchwara tu,hamuoni kama mnaishushia heshima kampuni yenu?