Matukio yafuatayo ni dalili ya kukomaa kisiasa kwa CCM

Sharif

JF-Expert Member
Mar 13, 2011
2,450
1,777
Matukio yafuatayo ni dalili ya kukomaa kisiasa kwa chama pendwa cha CCM katika misingi ya haki na demokrasia.

1-Kutumia jeshi la polisi kufanya mauwaji ya january 27 2001 Pemba,kwa waandamanaji.

2-Daudi mwangosi kufia mikononi mwa polisi

3-Kukamatwa kwa viongozi wa CCM wakiwa na masunduku feki ya kura,akiwemo waziri mkongwe Nagu huko Manyara ktk uchaguzi wa 2015

4-Kuahirishwa pasipo sababu ya msingi kwa uchaguzi wa meyor wa jiji la Dar es salaam na hatimae kufoji(jinai) hati ya mahakama na kuweka zuio feki

5-Kuwakamata na kukifungia kituo cha tallying station cha CDM hali wenyewe wakiwa na kituo kama hicho kwenye uchaguzi wa 2015

6-Kufuta uchaguzi wa Zanzibar kama vile wanamfuta mtoto uji shavuni, bila kufuata utaratibu huku wakidai wanataka uchaguzi safiiiii usio dosari na wakati huohuo wakiseka lupango wafuasi wa CUF zoezi linaloendelea hadi leo hii..

7-Kutumia lugha kama vile..CCM HAITONG'OKA KIRAHISI KAMA JINO,WAPINZANI WASAHAU KUINGIA IKULU,HATUTOFANYA KOSA KUKABIDHI IKULU KWA WAPINZANI..

Asante Mungu kwa kuendelea kutuletea machaguo yako !
 
Muombeeni Rais Magufuli....
 
Back
Top Bottom