Matukio ya vifo jijini Dar es Salaam

Matukio ya vifo jijini Dar es Salaam

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,069
Reaction score
34,839
MATUKIO ya vifo yanazidi kupamba moto jiji la Dar es s Salaam ambapo watu wanne wamekufa katika matukio tofauti jijini humo
MATUKIO ya vifo yanazidi kupamba moto jiji la Dar es s Salaam ambapo watu wanne wamekufa katika matukio tofauti jijini humo

Tukio la kwanza lililothibitishwa na Kamanda wea Polisi mkoa wa Kinondoni, Bw. Charles Kenyela ni lile la mtoto wa miaka miwili kufariki baada ya kudondoka katika tangi la maji machafu huko Mbezi Beach

Alieleza kuwa, mtoto huyo Mohamed Awadh wakati alipokuwa akicheza na wenzake alitumbikia katika tenkli hilo na kwa bahati mbaya alikunywa maji machafu mengi na kupoteza maisha

Katika tukio jingine mwanaume anayekadiriwa [35 – 40] amekufa baada ya kukosa hewa akiwa ndani ya kisima nyumbani kwake huko Bunju B .

Ilielezwa kuwa mwanamme huyo alipokuwa ndani ya kisima hicho kutoa maji alikosa hewa na kukimbiwa hospitalini lakini juhudi hizo hazikuweza kuzaa mataunda na alipoteza maisha wakati akipelekwa hospitalini

KAtika tukio jingine mwanamme mmmoja amejinyonga baada ya kupoteza maisha y a mwanae

Imedaiwa kwua mwanaume huyo alichukua uamuzi huo baada ya kupoteza masiha ya binti yake aliyemuadhibu na kusababisha kifo baada ya binti huyo kuchelea kurudi nyumbani

MWanaume huyo alimpiga binti huyo na kupoteza fahamu mkwa kuwa alikuwa akimchapa maeneno ya kichwani na alisababishwa kutokwa na damu nyingi na baadae alipoteza maisha

Hivyo nae alichukua uamuzi wa kujimaliza mara baada ya kuridi kumzika mwanae huyo


chanzo. Matukio ya vifo jijini Dar es Salaam
 
mkuu heshima kwako kumbe game hili uku anza jana wala juzi...humu jf
 
Back
Top Bottom