Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,262
- 13,552
Nimeshtushwa na taarifa ya kuongezeka kubakwa kwa watoto wadogo,mpaka kufikia Machi ni zaidi ya watoto 1700,tofauti na mwaka jana,Januari hadi Machi watoto 1500
Hizo data ni kwa mujibu wa msemaji wa jeshi la polisi Advera Bulimba via TV1.Mkoa unaongoza kwa unyama huo ni DAR ES SALAAM.
My take inakuwaje baadhi ya wanaume kuendelea kubaka watoto huku kukiwa na rundo la madada poa,AU ni uoga wa kutongoza??.Tena DAR ndio mkoa tunaosema ndipo walimo wajanja wa town wakiwemo mabraza meni.
Au ni imani za kishirikina au nini?
Tujadili kwa pamoja kukomesha tabia hii chafu isiyopendeza machoni mwa mwanadanu hata kwa Mungu pia.
Nawasilisha!