Matukio ya kukumbukwa mwaka 2014

1.Mpambano wa Tumbili na Mwizi Bungeni...
2.PEDESHEE LUGEMALIRA kutoa mtonyo wa nguvu kwa kina ASHKI MAJNUN
3.Judge kupokea million mia nne mchango wa harusi
4.Mgao wa mabillion kutoka benki kwenye mifuko ya rambo, magunia, mabakuli, vikapu RECEIVED IN A GOOD FAITH
 

Namba 1 umeua
 
trafic mahaba,mch ngwajima na mbasha,gesi ya mtwara,westgate,askofu na pesa za escow,chidi benzi na unga,ajari ya treni ya tazara na musoma,mwanasheria wa zenji kuchafua hali ya ewa bungeni,bukinafaso revolution nk nakumbuka mengi sana
 
Kuongezwa div 5 kwenye matokeo ya mitihani ya fm4
 
Mkulu kutokufahamu chochote kinachoendelea Dodoma bungeni,,,,,kuhusu Escrow ,,,,iingizwe kwenye ajabu la dunia,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…