Matukio ya kichawi yanayosisimua

Matukio ya kichawi yanayosisimua

switch Off

Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
50
Reaction score
205
Habari wakuu
Natumaini mko poa kabisa.
Leo nimekuja kwenu na jambo moja tuu kuhusu stori za kichawi na zinazo sisimua...
Kwa mtu yoyote mwanye kisa cha ukweli cha ushirikina,uchawi chenye kusisimua naomba tuwasiliane
Mfano -uliwahi kukutana na jini
-ulishawahi kufanya mapenzi na jini
-wewe ni mchawi na unawanga
-ulikula nyama za watu

Kama utakuwa wewe sio muhusika basi naomba kukutanishwa na wahusika ambao wewe unawafaham....

LENGO
lengo la kuwatafuta watu hao wenye visa vya uchawi ni kushirikiana nao..

Mimi nahusika na mambo ya Online Tv nataka kukutana na watu hao ili tutengeneze kipindi ambacho kitasisimua na kuwavutia watu... Tutafanya mahojiano kisha tutapandisha YOUTUBE

Kwa maelezo zaidi nicheki Pm


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lile dude alilokuwa amelibeba KAGERE jana kwenye mechi na kunyanganywa na refa kabla ya kushtukiwa na COTTON lipelekwe kwa mkemia mkuu wa serikali ili kujua ingredients
 
Tukio la yanga kufunga magoli yasiyoeleweka ndani ya dk 2 ni uchawi wa kiwango cha phd kabisa
 
Back
Top Bottom