Matukio Chuma kapotelea wapi sana

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,991
Reaction score
30,188
nakumbuka huyu jamaa alikua maarufu sana miaka yake akiwa chuo na alikua ana mwili na sauti iliyokakamaa ila leo namuona hapa EATV ananitia mashaka kabisa na namna anavyolegeza sauti.
cc: warumi Madame B
 
Last edited by a moderator:
Aiseeee...nmemuona pia. Muonekano wake una walakini....
 
Toka anasoma shaban robert sec alikua hivyo hivyo.alipofika chuo akafanyiwa mpango sijui eti akashinda mr university na kwenda ulaya. Huko ndo wakaenda kumuharibu kabisaa maana karudi macho yamelegea mikono haina nguvu midomo imelegea na anajilambalamba na visuluali vya kubana makalio vikawa havimtoki. Masikini kijana kageuka kibaiskeli watu wanakiendesha! Dunia hii we acha tu!
 
Ndio nani huyo wajameni..........?
 

Duuuuu!
 
Ndio nani huyo wajameni..........?

kijana mmoja alisoma ifm kama sikosei akashinda mr university na akenda kuliwakilisha taifa huko duniani napo akafanya poa, baada ya hapo sikumsikia tena hadi leo,
 
kijana mmoja alisoma ifm kama sikosei akashinda mr university na akenda kuliwakilisha taifa huko duniani napo akafanya poa, baada ya hapo sikumsikia tena hadi leo,

Khaaa........atakuwa kakumbwa na nini huyu mTanzania mwenzetu......
 
kijana mmoja alisoma ifm kama sikosei akashinda mr university na akenda kuliwakilisha taifa huko duniani napo akafanya poa, baada ya hapo sikumsikia tena hadi leo,

Alisoma mlimani!.. tena yuko vizuri tuu kichwani basi tuu kaamua kufanya kazi asiyoisomea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…