Matthew 26:56 “Kisha wanafunzi wote walimwacha na kukimbia.”

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
13,555
Reaction score
40,749
Hii si habari ndogo. Hii ni ushuhuda unaojitokeza wenyewe kutoka kwenye Injili zenyewe.

Yesu kulingana na Injili: Aliwachagua wafuasi kwa bahati mbaya: wavuvi, mtoza kodi, watu wa barabarani. Mwanafunzi mmoja alimsaliti kwa pesa 30 za fedha. Wengine wote walikimbia mara tu hatari ilikwisha. Mark hata anarekodi mfuasi mmoja alikimbia uchi alipokamatwa. Lakini baadae, watu hao hao ndio “waandishi” wa Maandiko Matakatifu.

Tatizo Kubwa ni hili

Mark: si mwanafunzi wa Yesu.

Luka: anakiri hajawahi kumuona Yesu. John: anaelezwa kama mtu asio na elimu (Acts 4:13), lakini anaaminika kuandika maandiko ya kina ya theologia.
Matthew: mtoza kodi ambaye Injili yake ina makosa mengi ya kihistoria na kisayansi.

Kisha anakuja Paul: Hajamwona Yesu. Alipingana na mafundisho ya Yesu. Aliifuta Sheria. Alibuni uokovu kwa njia ya kifo cha msalabani. Akajitangaza kuwa mtume. Hapa ndipo dini mpya inaanzia, si iliyofundishwa na Yesu mwenyewe.

Hitimisho
Mtume aliyeachwa na wafuasi wote
Wanafunzi walikosa, walikimbia, kisha wakandika theologia
Imani ilijengwa kwenye usaliti, kutoroka, na maono ya baadae
Na hii inaitwa: “Dini ya upendo na amani.”

Hii si ufunuo wa Mungu. Ubunifu kwa binadamu kuandikwa kama historia takatifu.
 
Hu ni Ulinganisho ambao Wakristo wengi Wanaogopa kuutoa:
Prophet Muhammad ﷺ: Aliwafunza maswahaba wake kwa miaka: Abu Bakr, Umar, Ali, Hamza, na wengine. Waliishi naye, walipigana naye, waliteswa, walipelekwa uhamishoni, na kuuliwa kwa sababu ya ujumbe. Hawakumwacha kamwe wakati hatari ilipokuja.
 
Mpinga Kristo ulipotea umeibuka tena, unawapotosha wasiojua kufasiri na kutafsiri Biblia takatifu
 
Atleast hakuna mtu aliyelawiti mtoto wa miaka 9 kwa ahadi hewa za mabikira siku ya kihama
 
Mkuu mimi sio mpinga kuristo nampenda yesu hata kukuzidi ila tofauti yangu na wewe siwezi kujenga imani kwa uongo na upotoshaji, mbona siku zote nipo mkuu.
 
Hu ni Ulinganisho ambao Wakristo wengi Wanaogopa kuutoa:
Prophet Muhammad ﷺ: Aliwafunza maswahaba wake kwa miaka: Abu Bakr, Umar, Ali, Hamza, na wengine. Waliishi naye, walipigana naye, waliteswa, walipelekwa uhamishoni, na kuuliwa kwa sababu ya ujumbe. Hawakumwacha kamwe wakati hatari ilipokuja.
Hao hawakumuacha kwa sababu walitembea na majambia. Na kilikuwa kikundi cha wapiganaji, wakati Yesu hakuwa na wanamgambo.

Hao wafuasi wa Mtume Muhammad walishirikiana naye kwenye kuchapa watu mapanga, silaha zilizokuwepo kwa teknolojia ya wakati huo ila kwa sasa kuna teknolojia mpya. Yesu yeye hakutumia hizo silaha kwa hiyo wafuasi wake walitumia neno na diplomasia.

Lakini kama ni suala la Yesu kukimbiwa na wafuasi waoga, mbona hata Mtume alilishwa sumu na mwanamama Myahudi Bi Zainabu? Kisa kula kula baada ya kuteka watu. We unapigana na watu unaua ndugu zao, kisha unaleta njaa kwa mapishi yao.
 
Mkuu mbona unahamahama mada, kwani swali la kusaliti ni la kimwili au la nafsi, msaliti ni msaliti hata awe na siraha AK 47, au awe tajiri msaliti apashwi kwa miniwa tena.
 
Hii si habari ndogo. Hii ni ushuhuda unaojitokeza wenyewe kutoka kwenye Injili zenyewe.

Yesu kulingana na Injili: Aliwachagua wafuasi kwa bahati mbaya: wavuvi, mtoza kodi, watu wa barabarani. Mwanafunzi mmoja alimsaliti kwa pesa 30 za fedha. Wengine wote walikimbia mara tu hatari ilikwisha. Mark hata anarekodi mfuasi mmoja alikimbia uchi alipokamatwa. Lakini baadae, watu hao hao ndio “waandishi” wa Maandiko Matakatifu.

Tatizo Kubwa ni hili

Mark: si mwanafunzi wa Yesu.

Luka: anakiri hajawahi kumuona Yesu. John: anaelezwa kama mtu asio na elimu (Acts 4:13), lakini anaaminika kuandika maandiko ya kina ya theologia.
Matthew: mtoza kodi ambaye Injili yake ina makosa mengi ya kihistoria na kisayansi.

Kisha anakuja Paul: Hajamwona Yesu. Alipingana na mafundisho ya Yesu. Aliifuta Sheria. Alibuni uokovu kwa njia ya kifo cha msalabani. Akajitangaza kuwa mtume. Hapa ndipo dini mpya inaanzia, si iliyofundishwa na Yesu mwenyewe.

Hitimisho
Mtume aliyeachwa na wafuasi wote
emoji777.png

Wanafunzi walikosa, walikimbia, kisha wakandika theologia
emoji777.png

Imani ilijengwa kwenye usaliti, kutoroka, na maono ya baadae
emoji777.png

Na hii inaitwa: “Dini ya upendo na amani.”

Hii si ufunuo wa Mungu. Ubunifu kwa binadamu kuandikwa kama historia takatifu.

.Injili ni kwaajili ya waliopokea neema ya Mungu kupitia Kristo Yesu. Siku neema ya Mungu ikikujia, utausahau ujinga wako wa kale, na kuujutia.

NB:
1. Yesu hakuwa mtume, bali yeye aliwateua mitume wake.
2. Hakuna mtume wa Yesu aliyemkimbia, bali kwa hofu ya kibinadamu waliwakimbia waliomsulibisha Kristo, ndiyo maana wote walirejea na kujikusanya pamoja wakiwa wamejifungia.
3. Yuda alimsaliti Bwana wake siyo kwa sababu alimgeuka au kutokukubaliana na mafundisho yake. Yuda, kwa sababu ya tamaa ya hela, kwa kuzingatia miujiza mingi iliyokuwa inafanywa na Bwana wake, yeye alijua kuwa atachukua hiyo pesa, na wale wanaotaka kumkamata Kristo kamwe wasingeweza, na hivyo waliotoa pesa ndiyo wangekuwa wamepoteza. Ndiyo maana alipoona Kristo hawaponyoki kutoka kwenye mikono ya waliomkamata, alirudi haraka kwenda kurudisha pesa, na walipokataa kuchukua pesa na kumwachia, Yuda aliamua kujiua, aliona maisha hayana maana kwake.
4. Hakuna mtume wa Yesu Kristo aliyemsaliti, ukimwacha huyo Yuda. Mitume wengine wote, ukimwacha Yohana aliyekufa kifo cha kawaida, wengine wote waliilinda injili, waliishi, walibakia na mafundisho ya Kristo mpaka kuuawa kwao. Wote, isipokuwa Yohana aliyekufa kifo cha kawaida, waliuawa wakiitetea injili ya Kristo.
5. Fahamu kuwa Luka alikuwa msomi daktari, alikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kuupokea Kristo, na akawa msaidizi wa Mtume Petro. Injili ya Luka, na maelezo a Petro, mtu aliyeishi akiwa karibu naye wakati wote, sawa na ilivyokuwa kwa Mtume Paulo na Timoteo.

5. Yohana ameandika mambo yote kwa kirefu. Ufahamu kuwa Yohana na Yakobo, walikuwa watu wa karibu sana na Yesu Kristo, kwa sababu katika mahusiano ya kibinadamu, ungesema kuwa Yohana na Yakobo walikuwa binamu yake Yesu Kristo, kwa sababu walikuwa watoto wa dadake Yusufu; hivyo walikuwa na muda mwingi sana na Yesu Kristo kuliko mitume wengine.
6. Paulo ni mtume wa Yesu Kristo kwa kufunuliwa na Kristo mwenyewe na siyo kwa kuishi naye katika mwili.

NB. Omba sana neema ya Mungu uweze kumtambua aliye Mungu wa kweli, ili uupate ujumbe wake wa kweli.

Ukiakataa injili ya Kristo, na kuamua kuisji na mafundisjo ya kufuga majini kwa kuzingatia kitabu alichoshushiwa Mohd na shetani, endelea, LAKINI ujue kuwaMungu ni mwaminifu katika ahadi zake, atakuwa mshahara wako ulio sawasawa na matendo yako.
 
Kweli

NB No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌
 
3. Yuda alimsaliti Bwana wake siyo kwa sababu alimgeuka au kutokukubaliana na mafundisho yake. Yuda, kwa sababu ya tamaa ya hela, kwa kuzingatia miujiza mingi iliyokuwa inafanywa na Bwana wake, yeye alijua kuwa atachukua hiyo pesa, na wale wanaotaka kumkamata Kristo kamwe wasingeweza, na hivyo waliotoa pesa ndiyo wangekuwa wamepoteza. Ndiyo maana alipoona Kristo haponyoki kutoka kwenye mikono ya waliomkamata, alirudi haraka kwenda kurudisha pesa, na walipokataa kuchukua pesa na kumwachia, Yuda aliamua kujiua, aliona maisha hayana maana kwake.
4. Hakuna mtume wa Yesu Kristo aliyemsaliti, ukimwacha huyo Yuda. Mitume wengine wote, ukimwacha Yohana aliyekufa kifo cha kawaida, wengine wote waliilinda injili, waliishi, walibakia na mafundisho ya Kristo mpaka kuuawa kwao. Wote, isipokuwa Yohana aliyekufa kifo cha kawaida, waliuawa wakiitetea injili ya Kristo.
5. Fahamu kuwa Luka alikuwa msomi daktari, alikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kuupokea Kristo, na akawa msaidizi wa Mtume Petro. Injili ya Luka, ni maelezo ya Mtume Petro, mtu ambaye mwinjili Luka alikuwa karibu naye wakati wote, sawa na ilivyokuwa kwa Mtume Paulo na Timoteo.

5. Yohana ameandika mambo yote kwa kirefu na kwa ufafanuzi mkubwa ni kwa sababu Yohana na Yakobo, walikuwa watu wa karibu sana na Yesu Kristo, kwa sababu katika mahusiano ya kibinadamu, ungesema kuwa Yohana na Yakobo walikuwa binamu yake Yesu Kristo, kwa sababu walikuwa watoto wa dadake Yusufu; hivyo walikuwa na muda mwingi sana na Yesu Kristo kuliko mitume wengine.
6. Paulo ni mtume wa Yesu Kristo kwa kufunuliwa na Kristo mwenyewe na siyo kwa kuishi naye katika mwili.

NB. Omba sana neema ya Mungu uweze kumtambua aliye Mungu wa kweli, ili uupate ujumbe wake wa kweli.

Ukiikataa injili ya Kristo, na kuamua kuishi na mafundisho ya kufuga majini kwa kuzingatia kitabu alichoshushiwa Mohd na shetani, endelea, LAKINI ujue kuwa Mungu ni mwaminifu katika ahadi zake, atakupa mshahara wako ulio sawasawa na matendo yako
 
Kweli

NB No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌
 
.Injili ni kwaajili ya waliopokea neema ya Mungu kupitia Kristo Yesu. Siku neema ya Mungu ikikujia, utausahau ujinga wako wa kale, na kuujutia.

NB:
1. Yesu hakuwa mtume, bali yeye aliwateua mitume wake.
2. Hakuna mtume wa Yesu aliyemkimbia, bali kwa hofu ya kibinadamu waliwakimbia waliomsulibisha Kristo, ndiyo maana wote walirejea na kujikusanya pamoja wakiwa wamejifungia.
3. Yuda alimsaliti Bwana wake siyo kwa sababu alimgeuka au kutokukubaliana na mafundisho yake. Yuda, kwa sababu ya tamaa ya hela, kwa kuzingatia miujiza mingi iliyokuwa inafanywa na Bwana wake, yeye alijua kuwa atachukua hiyo pesa, na wale wanaotaka kumkamata Kristo kamwe wasingeweza, na hivyo waliotoa pesa ndiyo wangekuwa wamepoteza. Ndiyo maana alipoona Kristo hawaponyoki kutoka kwenye mikono ya waliomkamata, alirudi haraka kwenda kurudisha pesa, na walipokataa kuchukua pesa na kumwachia, Yuda aliamua kujiua, aliona maisha hayana maana kwake.
4. Hakuna mtume wa Yesu Kristo aliyemsaliti, ukimwacha huyo Yuda. Mitume wengine wote, ukimwacha Yohana aliyekufa kifo cha kawaida, wengine wote waliilinda injili, waliishi, walibakia na mafundisho ya Kristo mpaka kuuawa kwao. Wote, isipokuwa Yohana aliyekufa kifo cha kawaida, waliuawa wakiitetea injili ya Kristo.
5. Fahamu kuwa Luka alikuwa msomi daktari, alikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kuupokea Kristo, na akawa msaidizi wa Mtume Petro. Injili ya Luka, na maelezo a Petro, mtu aliyeishi akiwa karibu naye wakati wote, sawa na ilivyokuwa kwa Mtume Paulo na Timoteo.

5. Yohana ameandika mambo yote kwa kirefu. Ufahamu kuwa Yohana na Yakobo, walikuwa watu wa karibu sana na Yesu Kristo, kwa sababu katika mahusiano ya kibinadamu, ungesema kuwa Yohana na Yakobo walikuwa binamu yake Yesu Kristo, kwa sababu walikuwa watoto wa dadake Yusufu; hivyo walikuwa na muda mwingi sana na Yesu Kristo kuliko mitume wengine.
6. Paulo ni mtume wa Yesu Kristo kwa kufunuliwa na Kristo mwenyewe na siyo kwa kuishi naye katika mwili.

NB. Omba sana neema ya Mungu uweze kumtambua aliye Mungu wa kweli, ili uupate ujumbe wake wa kweli.

Ukiakataa injili ya Kristo, na kuamua kuisji na mafundisjo ya kufuga majini kwa kuzingatia kitabu alichoshushiwa Mohd na shetani, endelea, LAKINI ujue kuwaMungu ni mwaminifu katika ahadi zake, atakuwa mshahara wako ulio sawasawa na matendo yako.
Mkuu umeandika vizuri sasa dhibitisha kimaandiko, sipendi narratives za walokole wanaongozwa na mihemuko badala ya akili logic and reasoning. Sasa leta ushahidi wamaadiko kwamba yuda hakumsaliti Yesu.
 
Atleast hakuna mtu aliyelawiti mtoto wa miaka 9 kwa ahadi hewa za mabikira siku ya kihama
Mariam mama Yesu kipindi anaposwa unajua alikua na umri gani, ndugu kafir?

Mwanamke anabalehe na miaka mingapi kwa mujibu wa biology, ndugu kafiri

Kwanza, unajua maana ya kubalekhe ndugu kafir?
 
Hoja yako ni nn sasa? Maana naona uko unachambua ktabu usichokiamini je unahangaika nacho cha nn? Wafuasi wa ukristo ww wanakuuma nn ikiwa muhamad aliukuta ukristo na alifanya biashara na wakristo hata mjomba wake alikuwa mkristo alikuja na dini yake ya kuenezwa kwa majambia, vita lakin bado alikufa akauacha ukristo je kama yeye aliukuta na akauacha ukristo je nyie chawa mtaweza kuuangusha? Uko busy na wakristo vp una uhakika umekamilika na umemaliza hata ukfa leo ni moja kwa moja kwny mito ya gongo na wanzuki na mademu 72 bikra au ww hutaki haya kama unayataka kwann usiendelee kujiweka vema na allah shetani kuliko kuwa busy na watu wasioenda peponi bali wanaenda mbinguni we komaa na peponi na uache kukomaa na waenda mbinguni umenipata? Kwani ukiwa busy na dini yako kuna ktu unapungukiwa? Au ili ukamilike ni mpk uchambue BIBLIA? je unadhan kwa uchambuz huu utawapa wakristo kweli, yaan ww muislam uujue ukristo kuliko wenye dini yao seriously? hakika allah ndiye shetani.
 
Back
Top Bottom